Baadhi ya vijana wa Chadema mkoani Mwanza wakichana kadi za Chadema

Mr Chin

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,625
1,024
[h=3]
22.jpg
[/h]

sengo.jpg

Vijana kutoka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza wameandama pamoja na kuchana kadi, kuchoma bendera ya chama hicho kwa madai ya kuchukizwa na kitendo cha Katibu mkuu Dr.Wilbdroad Slaa kutangaza kujiuzulu cheo chake na kuachana na masuala ya siasa.

Wakizungumza wakati wa maandamano hayo vijana hao wamedai kukasirishwa na kitendo cha Dr.Slaa kuhama chama hicho kwa madai ya kumpokea Edward Lowassa na kumpitisha kugombea urais kwa kupitia umoja huo kwa madai ya kuhusika na kashifa ya ufisadi iliyopelekea ajiuzulu mwaka 2008.

Hata hivyo, uamuzi wa Dr.Slaa kuachana na masuala ya kisiasa umepokelewa kwa namna tofauti huku Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Freeman Mbowe akidai kuwa chama cha Chadema sio mali ya mtu mmoja na kusisitiza chama hicho ni kama treni ambayo wapo watao panda na wengine kushuka.

Kijana utakuwa umepewa hela nzuri sana, unajitahidi balaa.....kila la kheri katika kazi ya kumtumikia shetani.
 
Hela gani kapewa huyo! Hela wanapewa waandaaji wa propaganda zilizokwenda Shule na zinaweza kumfikirisha MTU mwenye akili timamu.
Huyu ni wale wajaza saver wa buku7
 
[h=3]
22.jpg
[/h]

sengo.jpg

Vijana kutoka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza wameandama pamoja na kuchana kadi, kuchoma bendera ya chama hicho kwa madai ya kuchukizwa na kitendo cha Katibu mkuu Dr.Wilbdroad Slaa kutangaza kujiuzulu cheo chake na kuachana na masuala ya siasa.

Wakizungumza wakati wa maandamano hayo vijana hao wamedai kukasirishwa na kitendo cha Dr.Slaa kuhama chama hicho kwa madai ya kumpokea Edward Lowassa na kumpitisha kugombea urais kwa kupitia umoja huo kwa madai ya kuhusika na kashifa ya ufisadi iliyopelekea ajiuzulu mwaka 2008.

Hata hivyo, uamuzi wa Dr.Slaa kuachana na masuala ya kisiasa umepokelewa kwa namna tofauti huku Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Freeman Mbowe akidai kuwa chama cha Chadema sio mali ya mtu mmoja na kusisitiza chama hicho ni kama treni ambayo wapo watao panda na wengine kushuka.

Mkuu mbona hutoi habari kamili? Mbona husemi hao vijana unaodai ni wa chadema walipotoka pale kwa mkuu waa wilaya wakavuka barabara na kwenda pale garden wakasema wao wamepewa pesa yao na wametimiza wajibu wao ila kura zao ni kwa Lowasa na tens mbele ya waandishi wa habari wa star TV, ila cha ajabu walichoandika na kuonesha ndicho kilichokusudiwa? Mbona mtanyooka tu. Wale vijana walisema wametumwa na kulipwa pesa kufanya vile ile ila wao ni Lowasa tu
 
Lowassa kawashika pabaya sana...Magufuli anajuta huko.
 
Mkuu mbona hutoi habari kamili? Mbona husemi hao vijana unaodai ni wa chadema walipotoka pale kwa mkuu waa wilaya wakavuka barabara na kwenda pale garden wakasema wao wamepewa pesa yao na wametimiza wajibu wao ila kura zao ni kwa Lowasa na tens mbele ya waandishi wa habari wa star TV, ila cha ajabu walichoandika na kuonesha ndicho kilichokusudiwa? Mbona mtanyooka tu. Wale vijana walisema wametumwa na kulipwa pesa kufanya vile ile ila wao ni Lowasa tu

#HapaKaziTu Chadema sasa Kwisha Habari yao
 
Jifarijini tu na hao VIJANA 100 WANAOLIPWA ELFUISHIRINI KILA MMOJA KAMA UJIRA WAO NA MASABURI...WAKATI KWASASA NYIE CCM MNANING'INIA NA KAMBA YA MANILA MTINI NA MNAHANGAHIKA KUJINUSURU LAKINI MUMECHELEWA SANA!
 
Back
Top Bottom