Baadhi ya maeneo ya Changanyikeni karibu na UDSM Mlimani ni kama Ulaya

Baadhi ya mitaa ya changanyikeni ni kama Ulaya.

Ukiwa hayo maeneo ukiambiwa upo Dar es Sallam utakataa pako kama Ulaya au unaweza kudhani upo maeneo fulani ya Arusha, Nairobi, Mbeya, Moshi au London.

Pana ukijani mzuri sana mazingira safi yanayovutia na yenye miti mingi na makazi ya kisasa.

Hapo ndo unaona umuhimu wa kupanda miti na kuufanya mji uwe wa kijani na miti mingi na mpangilio bora wa makazi sambamba na usafi wa mji.

Changanyikeni baadhi ya mitaa inavutia sana na inapendeza sana.
Picha iko wapi??...
 
Huna hata haja ya kufika huko. Jina lenyewe linatosha kabisa kueleza ni sehemu ya aina gani, eti Changanyikeni.
 
Baadhi ya mitaa ya changanyikeni ni kama Ulaya.

Ukiwa hayo maeneo ukiambiwa upo Dar es Sallam utakataa pako kama Ulaya au unaweza kudhani upo maeneo fulani ya Arusha, Nairobi, Mbeya, Moshi au London.

Pana ukijani mzuri sana mazingira safi yanayovutia na yenye miti mingi na makazi ya kisasa.

Hapo ndo unaona umuhimu wa kupanda miti na kuufanya mji uwe wa kijani na miti mingi na mpangilio bora wa makazi sambamba na usafi wa mji.

Changanyikeni baadhi ya mitaa inavutia sana na inapendeza sana.
Bila picha haiingii akilini
 
Ulaya umefika!?? Au unaiona kwenyw habari za kimataifa ITV??? Achana na ulaya usifananishe na vitu vya kijinga aisee !!!
 
Back
Top Bottom