Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Nadhani hii topic ya zamani. Hilo suala kwa sasa halipo Mzumbe. Wale wote waliokuwa na degree fake ilitokea kama zali wote walishastaafu na wengine walienda shule zaidi, na sasa Mzumbe kinasomesha PhD watu wake ktk nyanja zote. Mpaka 2015 Mzumbe itakuwa imejaa maprof na Dr! Sema kilichokuwa kinakwamisha watu wengi PhD ni kutokana na kutokuwa na mfumo ulio wazi wa PhD tofauti na sasa halafu pia lecturer wengi walikuwa na dili nyingi mtaani na kuona PhD siyo chanzo cha pesa, ila sasa kutokana na kuingia kwenye mfumo wa quality assurance the wanalazimika kuwa na PhD wengi. Na kuna wataalamu kwa sasa mfano kuna jamaa anaitwa Dr Lukanima, ni kichwa cha Finance, na sasa kimepata dili south America, hiyo ni mifano michache.kumbe ndio maana hatuendeleiii, kwa kuwa watu walioko serikalini wengi wametoka Mzumbe, kumbe ndio maana, vijana smart wanaomaliza UDSM hawapati ajira serikalini kwa sababu ni tishio kwa zile Diploma za Mzumbe, kumbe ndio maana.................
Nungwi,
hebu kumbuka zile score zako za form six kama ungeweza hata kujaribu kuingia UDSM wakati wako.
Hakuna aliyekataa kuwa Baisi alipata degree feki, Angalia action iliyochukuliwa na utawala wa UDSM, je Mzumbe wamechukua hatua gani kudhibiti jambo kama hilo? Nungwi soma hoja za watu na uzielewe kisawasawa
Wazee wa UDSM
Binafsi sijapitia UDSM, lakini historia ya watu waliokuwa wakiingia pale naijua, na kutokana na uandishi wa Nungwi, nawaomba msipoteze muda na yeye.
JKN (RIP) alisema
...........ni vema ukijua kuwa hujui na ukakubali kuwa hujui, kuliko kujiona unajua kumbe hujui.......hii ni HATARI!!!