Baada ya muda gani mtumishi wa serikali anaweza kukidhi kupata mkopo?

Decisive

Member
Aug 3, 2023
45
92
Habari wana JF

Wadau, ni baada ya mda gani mtumishi wa serikali anaweza kukopa mkopo kwenye Bank kama NMB na CRDB.

Na kiwango cha mkopo kinaweza kufika 30 M kwa mshara wa 1.2M kwa mwezi?

Tafadhali nisingependa ushauri wa kwamba nisikope sababu najua ninacho target.
 
Mkuu unawaza kuchukua Long term LIABILITIES 😅😊
 
Habari wana JF

Wadau, ni baada ya mda gani mtumishi wa serikali anaweza kukopa mkopo kwenye Bank kama NMB na CRDB.

Na kiwango cha mkopo kinaweza kufika 30 M kwa mshara wa 1.2M kwa mwezi?

Tafadhali nisingependa ushauri wa kwamba nisikope sababu najua ninacho target.
Unaona hicho kiwango brother ... 1/3 lazima ibaki ambayo ni 418,000 ambayo kama take home .
Makato nakukisia Kwa mtu wa 1,255,000 AMBACHO NDIO kiwango ulichoweka 1.2M
Pssf 62,380
Cha Wafanyakazi 25,100
PAYE 174,380
Bima ya afya 37,650
Baki 955,120 toa 418,000
Baki 537,120 (Hiki ndio kiwango unachoweza kukopea).
 
The wealth mirrage, itakufanya ujione ni tajiri usiye na adui ila nakuasia kwenye kulipa hutatamani. Mimi sikushauri ila kama umejipanga, its well and good.
 
Unaona hicho kiwango brother ... 1/3 lazima ibaki ambayo ni 418,000 ambayo kama take home .
Makato nakukisia Kwa mtu wa 1,255,000 AMBACHO NDIO kiwango ulichoweka 1.2M
Pssf 62,380
Cha Wafanyakazi 25,100
PAYE 174,380
Bima ya afya 37,650
Baki 955,120 toa 418,000
Baki 537,120 (Hiki ndio kiwango unachoweza kukopea).
Tafadhali waweza weka in terms ya % zinazotakiwa kukatwa?
 
Unaona hicho kiwango brother ... 1/3 lazima ibaki ambayo ni 418,000 ambayo kama take home .
Makato nakukisia Kwa mtu wa 1,255,000 AMBACHO NDIO kiwango ulichoweka 1.2M
Pssf 62,380
Cha Wafanyakazi 25,100
PAYE 174,380
Bima ya afya 37,650
Baki 955,120 toa 418,000
Baki 537,120 (Hiki ndio kiwango unachoweza kukopea).
Kwa 18% ya Riba Kwa mwaka Kwa miaka 7 (miezi 84).... Utakopa Tsh 25,549,725
Riba 19,558,274
Mkopo + Riba = 45,108,000
Makato 537,000 Kwa mwezi.
Kikubwa inategemea umri wa mkopo na riba ya mkopo Kwa mwaka.
 
Attachments

  • Screenshot_20230924-113239.jpg
    Screenshot_20230924-113239.jpg
    34.6 KB · Views: 9
Unaona hicho kiwango brother ... 1/3 lazima ibaki ambayo ni 418,000 ambayo kama take home .
Makato nakukisia Kwa mtu wa 1,255,000 AMBACHO NDIO kiwango ulichoweka 1.2M
Pssf 62,380
Cha Wafanyakazi 25,100
PAYE 174,380
Bima ya afya 37,650
Baki 955,120 toa 418,000
Baki 537,120 (Hiki ndio kiwango unachoweza kukopea).
Kwahiyo rejesho likiwa 500k+ 1/3 inakuwa haiathiriki? in that case naweza pata hata 25 M i see.
 
Back
Top Bottom