Mkuu endelea kusubiri utasubiri sana2025 kumbuka ni zamu ya wezetu Waislamu.
Sidhani kama jamaa yenu atakubali, manake kwa mwendendo wake Sisi waislam tujihesabie tu hatuna chetu2025 kumbuka ni zamu ya wezetu Waislamu.
Kama wewe si mshabiki wa upinzani basi ni shabiki wa CCM, na kama ni hivyo basi ingeshangaza sana kama na wewe ungeona kwamba upinzani unafaa kutoa Rais iwe 2020 ama hiyo 2025. Mbali na U-CCM wako lakini pia kwa Makonda na Magufuli umepata sababu za ziada za kuwashabikia na siku hizi huoni haya kwa hilo!Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais upinzani ni bado sana.
Paskali.
Huwa ni kazi ngumu sana kumwelewa mtu. Mwenye ideas kinzani na wewe,ndicho kinacho watesa CCM bungeni,Huyu mtu anayejiita Paskali ukomo wake kufikiri umeshagota. Alitegemea ataonekana awamu hii lakini wapi. Hakuna fact hata moja ameandika zaidi ya mashudu ya karne

Makonda ana kipi special kiasi cha kumuona anafaa?
anza na mwaka wake mmoja wa ukuu wa mkoa ni innovation idea gan iliyowasaidia wananchi zaidi ya siasa za muda mfupi?