Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,698
- 4,693
Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe.
Lakini tuanzie kwenye uraia wa viongozi wakuu wa nchi yetu; wale wanne wanaoheshimika na Bashe. Maana wengine anasema hawatambui. Yaani Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu, na naibu waziri mkuu. Uraia wao ukoje??
Sipendi sana rais anavyojinasibisha na uarabu maana ni kama ile syndrome ya US na one drop theory. Ni kulidhalilisha taifa. Makamu wa rais ni mtu wa Kigoma, huko ni mchanganyiko wa wakimbizi. Waziri mkuu yeye anatokea mpaka wa Kusini, kule wamakonde wa TZ na Msumbiji wanatembeleana. Naibu waziri mkuu Huyu nilidhani ni msukuma lakini kuna ndogo ndogo zinakuja juu ya ukimbizi kutoka nchi jilani. Twambieni, na wengine hadi hawa mawaziri.
Bashe tulijadili sana hali yake na mpaka leo inatia utata maana ana nyaraka rasmi zenye maelezo tofauti wakati ni yeye kwa utu uzima wake ndo alizijaza. Hadi kubadili mwaka wa kuzaliwa kila wakati. Yawezekana ni wengi ndani ya wizara zetu.