VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Hallo can you see this words au keyboard yangu inaandika maneno invisible..... naomba mwenye jibu anijibu post ya #16.
Haya ni maajabu, Baada ya serikali kutangaza ktk vyombo vya habari kuwa machinga wa kichina waondoke, Ubalozi wa china umepiga stop viza kwa raia wote wa Tanzania wanaotaka.
Yaani hawa wachina tayari walishaona ni haki yao kuvunja sheria!! kweli T.I A. Yaani wataka kulazimisha wafanye biashara kinyume na sheria!!
Hivi huyu waziri wetu tuliyempa dhamana ya kushughulikia mambo haya ina maana hana taarifa.
Taarifa za uhakika ni kwamba pale hong kong watanzania wanataabika hakuna viza za china na huu ni mwezi wa 4 unakatika,hakuna aliyefanikiwa kupata viza
Ubalozini kwao pale Dar es salaam pia hawatoi viza labda uwe mtu wa serikali. Sasa kama huu ni utaratibu mpya kwa nini wizara isiwatangazie Watanzania kuwa utaratibu wa kwenda china umebadilika kuliko kuwaacha watu wakitaabika na kupoteza muda ubalozin i, Huu ni ujinga. Waziri anayehusika anasemaje,
Nimemuuliza jamaa mara tatu sijui haoni comments zangu?? labda wewe atakujibu.Habari yako inamgongano kidogo. Unasema sasa ni miezi minne watu hawapati visa lakini tamko la waziri kuhusu wachina wamachinga kuondoka limekuwa mwezi huu. Labda kama kweli kuna kunyima visa kutakuwa kuna sababu nyingine na inawezekana serikali inajua ndio maana nayo imeamua kuwaondoa machinga wa kichina.
Inaweza ikatusaidia kupunguza makorokoro feki ya kichina yalijaa madukani
Taarifa za uhakika ni kwamba pale hong kong watanzania wanataabika hakuna viza za china na huu ni mwezi wa 4 unakatika,hakuna aliyefanikiwa kupata viza
Mkuu unasema huu ni mwezi wa nne... kwani wamachinga wa china walifukuzwa lini?.... Hapa labda tunajumlisha moja na moja na kupata tatu.... am sure mtu ukinyimwa visa huwa kuna sababu je hao jamaa wanapewa sababu gani?
Mkuu major naomba unijibu
Nimemuuliza jamaa mara tatu sijui haoni comments zangu?? labda wewe atakujibu.
Taarifa za uhakika ni kwamba pale hong kong watanzania wanataabika hakuna viza za china na huu ni mwezi wa 4 unakatika,hakuna aliyefanikiwa kupata viza
VOR sio kila mtu ana access ya internet 24/7 kwa hiyo ndio maana inachukua muda kwa baadhi ya wadau kujibu.
Ubalozi wa china umetafutwa kuhusiana na hizi tuhuma?
Nimemuuliza jamaa mara tatu sijui haoni comments zangu?? labda wewe atakujibu.
info nzuri hii mkuu... source please..
Sasa wanawafukuza ili nini?
Kuna mchanganyiko kidogo hapa! Umesema viza ya kwenda China haipatikani karibu miezi 4 sasa. Tangazo la kuondowa Machinga wa kichina limetoka wiki mbili zilizopita. Sasa nani alianza na nani aliefuatia kati ya vitendo viwili hivi? Kwa mujibu wa taratibu za mahusiano ya kimataifa inawezekana ikawa Tanzania ndio inalipa (reciprocacy) tendo la kunyimwa viza Watanzania na sio kinyume chake!Haya ni maajabu, Baada ya serikali kutangaza ktk vyombo vya habari kuwa machinga wa kichina waondoke, Ubalozi wa china umepiga stop viza kwa raia wote wa Tanzania wanaotaka.
Yaani hawa wachina tayari walishaona ni haki yao kuvunja sheria!! kweli T.I A. Yaani wataka kulazimisha wafanye biashara kinyume na sheria!!
Hivi huyu waziri wetu tuliyempa dhamana ya kushughulikia mambo haya ina maana hana taarifa.
Taarifa za uhakika ni kwamba pale hong kong watanzania wanataabika hakuna viza za china na huu ni mwezi wa 4 unakatika,hakuna aliyefanikiwa kupata viza
Ubalozini kwao pale Dar es salaam pia hawatoi viza labda uwe mtu wa serikali. Sasa kama huu ni utaratibu mpya kwa nini wizara isiwatangazie Watanzania kuwa utaratibu wa kwenda china umebadilika kuliko kuwaacha watu wakitaabika na kupoteza muda ubalozin i, Huu ni ujinga. Waziri anayehusika anasemaje,
Haya ni maajabu, Baada ya serikali kutangaza ktk vyombo vya habari kuwa machinga wa kichina waondoke, Ubalozi wa china umepiga stop viza kwa raia wote wa Tanzania wanaotaka.
Yaani hawa wachina tayari walishaona ni haki yao kuvunja sheria!! kweli T.I A. Yaani wataka kulazimisha wafanye biashara kinyume na sheria!!
Hivi huyu waziri wetu tuliyempa dhamana ya kushughulikia mambo haya ina maana hana taarifa.
Taarifa za uhakika ni kwamba pale hong kong watanzania wanataabika hakuna viza za china na huu ni mwezi wa 4 unakatika,hakuna aliyefanikiwa kupata viza
Ubalozini kwao pale Dar es salaam pia hawatoi viza labda uwe mtu wa serikali. Sasa kama huu ni utaratibu mpya kwa nini wizara isiwatangazie Watanzania kuwa utaratibu wa kwenda china umebadilika kuliko kuwaacha watu wakitaabika na kupoteza muda ubalozin i, Huu ni ujinga. Waziri anayehusika anasemaje,
biashara ya ukahaba,