Baada ya machinga wa kichina kutakiwa kuondoka Tz, ubalozi wa China wapiga stop viza

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,439
Haya ni maajabu, Baada ya serikali kutangaza ktk vyombo vya habari kuwa machinga wa kichina waondoke, Ubalozi wa china umepiga stop viza kwa raia wote wa Tanzania wanaotaka.

Yaani hawa wachina tayari walishaona ni haki yao kuvunja sheria!! kweli T.I A. Yaani wataka kulazimisha wafanye biashara kinyume na sheria!!

Hivi huyu waziri wetu tuliyempa dhamana ya kushughulikia mambo haya ina maana hana taarifa.

Taarifa za uhakika ni kwamba pale hong kong watanzania wanataabika hakuna viza za china na huu ni mwezi wa 4 unakatika,hakuna aliyefanikiwa kupata viza

Ubalozini kwao pale Dar es salaam pia hawatoi viza labda uwe mtu wa serikali. Sasa kama huu ni utaratibu mpya kwa nini wizara isiwatangazie Watanzania kuwa utaratibu wa kwenda china umebadilika kuliko kuwaacha watu wakitaabika na kupoteza muda ubalozin i, Huu ni ujinga. Waziri anayehusika anasemaje,
 
Hiyo inaitwa vuta nikuvute..nisukume nikusukume!!Wana haki ya kuwanyima kwenda kwao kama nyie mnavyowafukuza kwenu!Labda tu watangaze rasmi ili watu wasipoteze muda kuomba hizo visa!
 
Machinga wa Kichina wanaonewa sana: Sababu: Hivi kwa umeme upi ambao wao wataendeshea mitambo yao pindi wakitaka kufanya hivyo!!?? Kwa maji yapi!!?? Tuache wivu!!
 
Haya ni maajabu, Baada ya serikali kutangaza ktk vyombo vya habari kuwa machinga wa kichina waondoke, Ubalozi wa china umepiga stop viza kwa raia wote wa Tanzania wanaotaka.

Yaani hawa wachina tayari walishaona ni haki yao kuvunja sheria!! kweli T.I A. Yaani wataka kulazimisha wafanye biashara kinyume na sheria!!

Hivi huyu waziri wetu tuliyempa dhamana ya kushughulikia mambo haya ina maana hana taarifa.

Taarifa za uhakika ni kwamba pale hong kong watanzania wanataabika hakuna viza za china na huu ni mwezi wa 4 unakatika,hakuna aliyefanikiwa kupata viza

Ubalozini kwao pale Dar es salaam pia hawatoi viza labda uwe mtu wa serikali. Sasa kama huu ni utaratibu mpya kwa nini wizara isiwatangazie Watanzania kuwa utaratibu wa kwenda china umebadilika kuliko kuwaacha watu wakitaabika na kupoteza muda ubalozin i, Huu ni ujinga. Waziri anayehusika anasemaje,

Nani kanyimwa visa au wametangaza lini kuwa hawatoi visa?
 
Hiyo inaitwa vuta nikuvute..nisukume nikusukume!!Wana haki ya kuwanyima kwenda kwao kama nyie mnavyowafukuza kwenu!Labda tu watangaze rasmi ili watu wasipoteze muda kuomba hizo visa!

Ndio safi wachina hawana aibu ni tit for tat.Ndio maana wao hawana mafisadi

Vipi Liz? ulisalimika kweli na mabomu ya CCM huko Arusha?
 
Hii ndio mjue kama nchi zenu hazina uchungu na ninyi wao wana uchungu na watu wao. kama ninyi mnavunja ajira za watu wenu wao wanazilinda ajira za watu wao... tofauti ndio hiyo
 
Inaweza ikatusaidia kupunguza makorokoro feki ya kichina yalijaa madukani
 
Ndiyo maana nasema waziri anayehusika atuambie kulikoni? maana naona amekaa kimya tu wakati watu wanataabika ubalozini, kama sheria za nchi zimebadlika tujue, siyo kukaa kimya tu kama mazuzu.

Halafu mimi nasema kufanya biashara ktk nchi yoyote duniani ni lazima ufuate sheria za nchi hiyo, sasa hawa chinga wa kichina hapa tz wanafuata sheria za nchi nchi gani? maana viza zao zinaonyesha wanaingia kama watalii, halafu baada ya wiki unamuona kariakoo na kiduka chake

Hii ni aibu kwa waziri aliye na dhamana ya kushughulikia mambo haya. nafikiri hajui wajibu wake,
 
tatizo mnasahau kuwa nw china is a superpower...ni sawa na kuikoromea usa....baada ya kutimua wahindi wezi mnawaandama wachina....tatizo la bidhaaa feki ni udhaifu wa tbs....kila nchi duniani ina china town in shot wako kila kona...hebu tuje na plan b katika hili swala..
 
Taarifa za uhakika ni kwamba pale hong kong watanzania wanataabika hakuna viza za china na huu ni mwezi wa 4 unakatika,hakuna aliyefanikiwa kupata viza

Mkuu unasema huu ni mwezi wa nne... kwani wamachinga wa china walifukuzwa lini?.... Hapa labda tunajumlisha moja na moja na kupata tatu.... am sure mtu ukinyimwa visa huwa kuna sababu je hao jamaa wanapewa sababu gani?
 
mkuu... China is the world's powerful in economy but per capital income iko chini sana... kwa hiyo maskini na watu wasio nakipato ni wengi sana... hivyo basi ndio hao maskini wanaofurika huku kwetu.... wanaleta substandards products.... na kosa si la TBS ni sisi wnyewe tunakubali kuleta hizi products kwa sababu ya bei iko chini...... we never bother the aspect of quality...
 
Ndo mtie akili sio kila kitu kukipelekapeleka kisiasa za maji taka ili mradi umaarufu wa kijinga.Mnamwiga bosi wenu JK hamjui yule hamnazo?Misifa ya bure lakini hawajali watu wake.Wenzetu hawana upuuzi huo.Ukileta za kuleta wao hawakuonei haya yani feedback unaipata hapo hapo.
 
Taarifa za uhakika ni kwamba pale hong kong watanzania wanataabika hakuna viza za china na huu ni mwezi wa 4 unakatika,hakuna aliyefanikiwa kupata viza

Mkuu unasema huu ni mwezi wa nne... kwani wamachinga wa china walifukuzwa lini?.... Hapa labda tunajumlisha moja na moja na kupata tatu.... am sure mtu ukinyimwa visa huwa kuna sababu je hao jamaa wanapewa sababu gani?

Mkuu major naomba unijibu
 
Nashangaa kama unakaa nchi ya watu na visa ya utaliii, halafu, unafanya kitu kingine!!!!!! Huku kwenye nchi zao sisi tunaishi kwa kufuata sheria na unafanya kile ambacho visa yako inaelekeza, kinyume chake-unalo-lupango!!!!!!!!!!!! Sasa na wenyewe kama wanaenda kinyume no!!!!!!!! sheria msumeno.
 
Haka ka waziri katajiju, inasemekana hata miradi wanatotudhamini himo mbioni kusimama, wachina sio feki kama sirikali ya jk.
 
Na bado waje wang'oe na reli yao ya tazara, wabomoe uwanja wa taifa mradi ajira zitokee tu na huyu presidaa wetu akatazwe kuzunguka ughaibuni awekewe fatwa
 
Tuwatoe na wazungu wanaowazalilisha dada zetu huko bulyanhuru tuone kama kikwete ataenda kuwaona akina jay zee
 
Back
Top Bottom