mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 81,720
- 107,835
Haha naona mtoto wa maghorofaniKiukweli vilaza kama wewe Sokwe, nyinyi ndio mnaofanya jf wote tuonekane hatuna maana!. Kwa akili yako fupi, umeona hili ni bandiko la uchawa ili kuusaka u DC?!.
Pole!. Soma tena huku umetulia, ukijiona huuelewi, nenda mabandiko mengine, usiparamie kila bandiko mengine yamekuzidi kimo cha urefu wa akili yako fupi!. Kwa kukusaidia tuu, Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
Kwa wengine, naombeni mnisamehe bure, nachoka kuyajibu haya majitu majinga yanayodhani mimi naandika kuusaka U DC!
P
Leo ume attack back,
Ova