Baada ya kusafishwa na PCCB kuwa hawakupokea RUSHWA, Unawashauri nini wachezaji hao?

Baraka F.K

Member
Aug 28, 2012
79
26
AZAM KAMWAGA.jpg

Haya ni mawazo ya mmoja wa wapenzi wa soka
 
hii ishu ya kina agrey imemalizwa for the sake ya national timu kwani hawa jamaa walikubali kweli na ndio maana wakapelekwa PCCB hayo mambo ya huko pccb imekuwa ikifanya hivo siku zote na hapo utaona kitakacho endelea...
 
Dah inawezekana Rafiki yangu Kimwaga atakuwa amemaliza ile Course yake kwenye kile Chuo cha Hotel Management pale karibu na Makao Makuu ya Club yao mana'ke nime'notice improvement kwenye stock ya vocabularies yake i.e "ONE DOLLAR BILLION QUESTION,WATER TIGHT,PLURIBUS UNUM-METHINKS.." etc, Bravo bwana Ezekia Kau'mwaga!
 
Tuwaache hawa vijana wacheze mpira ndio ajira, ubabaishaji katika nchi yetu ni sehemu ya maisha yetu.
 
Azam waliwatuhumu hawa vijana kwa hisia na hasira za kufungwa na Simba, huenda hawakuwa na ushahidi wowote zaidi ya kulalamika kwa nini wafungwa magoli yote yale! Malalamiko ya hisia bila kuwa na ushahidi thabiti wa kuthibitisha kosa hayasaidii kesi kupelekwa mahakamani. Hivi Azam watuambie ni nani aliyeshuhudia wachezaji hao wakipokea rushwa, toka kwa nani, kiasi gani na walikuwa wapi? Kama hakuna majibu kwa maswali haya pcb wangewashitaki kwa ushahidi upi? Kotini hawahitaji hisia bali ushahidi usioacha mashaka yoyote. Waendelee kucheza boli, period.
 
Inabidi wapige kazi tu,kwa sababu ata wakishitaki awawezi kushinda hiyo kesi,ila simba na yanga kutoa pesa siyo kitu kigeni mkuu.
 
Back
Top Bottom