Baada ya kumaliza tu mapenzi ameanza kuliaaaaaa!

Huyo demu ana jamaa yake mwingine ambaye anampenda lkn anamsaliti kwa kulalwa na huyo mshikaji wako. Kila anapomaliza kumegwa anamkumbuka jamaa yake na kukumbuka magumu yote waliyopitia pamoja then anaanza kulia.

dawa yake ni kumtia makofi ili alie kwa sababu chanya
 
Haya ndo matatizo ya internet za bei chee. Airtel ondoeni hii bundle ya 2500 bana. Yaani wewe ambaye unalala naye na kuongea naye unashindwa kujua kinachomliza mimi ambaye hata haiba yake na umri siujui unategemea kweli nikupe jibu hapa. No this is not fair
 
Huyo demu inawezekana inamuumiza maana baada ya starehe kwake ni kilio. Lakini kila machozi yote si ya huzuni pengene jamaa ni fundi sana wa mavitu.
 
huwa analia kwa hasira ya kutofikishwa pale alipopatarajia. Mwambie jamaa asiwe na pupa ya kumaliza haraka!
 
labda jamaa anamuachaka hewani hamfikishiri na hii huwa inatia hasira sana!
 
anashindwa kuomba hela baada ya game, so anajaribu kumsomesha jamaa kwa njia ya ishara but it seems jamaa haelewi... mwambie kila akimmega awe anampa hela, sio amchamfua bure
 
Huyo demu ana jamaa yake mwingine ambaye anampenda lkn anamsaliti kwa kulalwa na huyo mshikaji wako. Kila anapomaliza kumegwa anamkumbuka jamaa yake na kukumbuka magumu yote waliyopitia pamoja then anaanza kulia.

dawa yake ni kumtia makofi ili alie kwa sababu chanya

Karibu sana na ukweli mkuu!
 
huyo ni changudoa tu kujifanya anahisia kali,huo niujinga,kamani mwanandoa akapimwe akili yake hata watanga wanaojua mapenzi hawafanyi hivyo.
 
Back
Top Bottom