Baada ya kumaliza tu mapenzi ameanza kuliaaaaaa!

HansMaja

Senior Member
Nov 9, 2010
102
114
Kuna rafiki yangu anatafuta ushauri kwa nini mpenziwe wakimaliza kufanya mapenzi anaanza kulia saana halafu akiulizwa amekuwa hasemi nini kinamliza!!
 
anakuwa anaililia. je machzi yanadondoka? but hizo akili wanazo mademu wa kilokole, huwa wanajifanya eti wanajutia kosa walilofanya. yaani anataka mmewe amuone anamheshimu Mungu kumbe hamna kitu. je huyo demu mlokole?
 
Kuna rafiki yangu anatafuta ushauri kwa nini mpenziwe wakimaliza kufanya mapenzi anaanza kulia saana halafu akiulizwa amekuwa hasemi nini kinamliza!!

Maswali kama haya muwe mnawaachia wahusika wenyewe, we hata tukikudadisi sana sana utatukwepa tu!!! Kama wewe ndie mhusika........ basi itapendeza kama utatufafanulia zaidi kuliko tuanze kuguess tu!!
 
Mm nahc yule n mgonjwa tayari so anapokuwa keshamaliza kumpkia jamaa bac anakuwa anamuonea huruma juu ya sumu aliyompa! Duh! Hebu mchukueni akachukue vpimo!
 
Anamuhurumia kwa kua anazidi kumpa miwaya aka migrid aka drum aka umeme aka ngoma aka minyenyere
 
Sababu zinaweza kuwa nyingi.. Inawezekana akawa anapata kumbukumbu inayomhuzunisha, au anajutia alichofanya, au pengine kuna wasichana anakua na certain character inaitwa "drama queen" yaani anafanya vibweka tu vya ajabu ajabu bila sababu ya msingi!
 
Amyner,hakuna lolote wala ckubaliani na hayo,yule n mgonjwa so wakapime tu,yeye pamoja n hicho kibovu chake!
 
Furaha ikizidi machozi hutoka. Utamuu huo. Hata watu wakiwa washindi wa tuzo fulani..hutokwa na machozi.
 
Back
Top Bottom