Baada ya kukosa uwaziri , Serukamba awachochea wabunge

:bange:duhh! mheshimiwa Serukamba hana nia na Uwaziri kabisa ila anahitaji kuwatumikia watanzania na sisi watu wa kigoma. Hujui kuwa yuko kambi la Lowasa????[/QUOTE]
unataka kutuambia nini?kwamba mtu akiwa katika kambi ya EL ndo anahitaji kuwatumikia watanzania?
 
Ndugu mbunge anajua matokeo ya kukataa kupitisha bajeti ya serikali?
Kama kweli anatambua matokeo ya uamuzi huo,kwa nini ilikuwa ngumu kwake kusaini karatasi ya Zito kuhusu mchakato wa kumpigia kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.
Mwendelezo wa mantiki iliyopinda!
 
Back
Top Bottom