Baada ya kuacha kazi ITV/Redio One, Kitenge asaini mkataba E-FM Radio

2.JPG

Mtangazaji mahiri wa habari za michezo,Maulidi Baraka Kitenge akisaini Mkataba wa kazi na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar Es salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM,Dickson Ponela.

Utaki unaacha.

Chanzo:HARAKATINEWS BLOG
Huyu jamaa mnapamba zaidi ya uwezo wake katika utangazji.
BaruaKitenge.jpg
 
Nasikia hii radio ni ya JD Jide aka Komandoo wa Anakonda na mumewe Gadner, ni kweli eti au ni siasa za uvumi na propaganda za umbeya wa kitaani?

omba iwe hivyo nisikiavyo isijevkuwekwa kwenye mali za talaka
 
MTAZAMO hata sijaelewa niliandika nini hapa, nimekuja kugundua ni dogo na yeye alikuwa akifanya yake wakati mi nimetoka, watoto wa sku hizi wana mabalaa, he is 3yo!

watoto wa digital ni balaa....shukuru mungu hakuweza kupata herufi kali....angeweka km "F Word" saa hizi ungekuwa unahangaika na samahani kibao kwa Mtazamo...
 
watoto wa digital ni balaa....shukuru mungu hakuweza kupata herufi kali....angeweka km "F Word" saa hizi ungekuwa unahangaika na samahani kibao kwa Mtazamo...

Kazi tunayo mkuu, na kamaeshazowea nikibanduka tu kanazama, siku moja niliaibika sana, nilikakuta kamefungua picha za ajabu, kuanzia siku hiyo nikafuta uchafu wote nikaweka katuni, kanajua kuingia local disc d, kutafuta folder lenye katuni na kufungua, inabidi kuwa makini sana na watoto wetu, wanajifunza mambo wakiwa wadogo sana.
 
Ha ha ha.....isije ikawa "like father,like son".....hawa wanarithi kwetu mkuu.....
 
Afu mbaya zaidi anasema alikuwa anatumika. Huyu jamaa nafkiri busara ilimpotea wakati akiandika ile barua ya kuacha kazi.

Ana elimu gani huyu jamaa? Sasa kama alikuwa anatumika kama anaakili timamu kwanini akae miaka yote pale. Angetafuta umaarufu kwingine!!!
 
Sio vizuri kufuatilia mambo ya watu lakini huyu bwana alitaka kuwa katika kundi la maceleb hivyo hatuna budi.
Wenye kujua mizania, anaendeleaje na kibarua chake kipya! Umaarufu umeshaongezeka au kushuka!?
Na je, bado anatumika au anajitumikia sasa?
 
Hamna kitu apo, kama wanahela wakachukue jamaa wa Clouds
Waling'oa kama 9 hivi kutoka hapo clouds.
1. PJ (Alipiga u turn)
2. Gerald Hando
3. Gadner Habash (alirudi clouds)
4. Abel Onesmo
5. Masoud Maestro
6. Dina Marios
7. Twalib Muha
8. B. Dozen
9. Fatma Likwata
 
Back
Top Bottom