idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,050
- 1,401
nchi hii kuna mwenye maisha mazuri asiyekuwa na element za ufisadi? zinduka!
mimi hapa.
nchi hii kuna mwenye maisha mazuri asiyekuwa na element za ufisadi? zinduka!
Huyu jamaa mnapamba zaidi ya uwezo wake katika utangazji.
Mtangazaji mahiri wa habari za michezo,Maulidi Baraka Kitenge akisaini Mkataba wa kazi na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar Es salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM,Dickson Ponela.
Utaki unaacha.
Chanzo:HARAKATINEWS BLOG
Huyu jamaa mnapamba zaidi ya uwezo wake katika utangazji.
View attachment 178957
Sasa haijulikani hao wanalipa bei gani,maana watangazaji wengi wamehamia huko
Nasikia hii radio ni ya JD Jide aka Komandoo wa Anakonda na mumewe Gadner, ni kweli eti au ni siasa za uvumi na propaganda za umbeya wa kitaani?
MTAZAMO hata sijaelewa niliandika nini hapa, nimekuja kugundua ni dogo na yeye alikuwa akifanya yake wakati mi nimetoka, watoto wa sku hizi wana mabalaa, he is 3yo!Reply With Quotehmf,.b,n/m,kjbh,cjulu;y
omba iwe hivyo nisikiavyo isijevkuwekwa kwenye mali za talaka
MTAZAMO hata sijaelewa niliandika nini hapa, nimekuja kugundua ni dogo na yeye alikuwa akifanya yake wakati mi nimetoka, watoto wa sku hizi wana mabalaa, he is 3yo!
watoto wa digital ni balaa....shukuru mungu hakuweza kupata herufi kali....angeweka km "F Word" saa hizi ungekuwa unahangaika na samahani kibao kwa Mtazamo...
Kazi tunayo mkuu, na kamaeshazowea nikibanduka tu kanazama, siku moja niliaibika sana, nilikakuta kamefungua picha za ajabu, kuanzia siku hiyo nikafuta uchafu wote nikaweka katuni, kanajua kuingia local disc d, kutafuta folder lenye katuni na kufungua, inabidi kuwa makini sana na watoto wetu, wanajifunza mambo wakiwa wadogo sana.
Ha ha ha.....isije ikawa "like father,like son".....hawa wanarithi kwetu mkuu.....
Afu mbaya zaidi anasema alikuwa anatumika. Huyu jamaa nafkiri busara ilimpotea wakati akiandika ile barua ya kuacha kazi.
Kwani Kikwete ni fisadi?
mkuu, hii redio inasikika baadhi ya maeneo ya Kawe, haijaweza ku-cover hata Kawe yote, sembuse Dar nzima! Hii ni redio ya mtaa tu!
Hata Clouds enzi hizo ikiitwa mawingu studio ilikua njaa kali. Hii redio EFM ipe miaka michache ijayo itakuja kuwa juu mno. Take my words....Hamna kitu apo, kama wanahela wakachukue jamaa wa Clouds
Waling'oa kama 9 hivi kutoka hapo clouds.Hamna kitu apo, kama wanahela wakachukue jamaa wa Clouds
Waafrika banamkuu, hii redio inasikika baadhi ya maeneo ya Kawe, haijaweza ku-cover hata Kawe yote, sembuse Dar nzima! Hii ni redio ya mtaa tu!
Wazee wa kamba kaliYou're Absolutely Right.