Baada ya KATIBA tunataka kura ya Maoni kuhusu MUUNGANO

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
wadau nafikiri tujifunze yanayoendelea kule sudan kwani ndugu zetu wa kule jumapili hii watapiga kura kuhusu sudan kusini kuwa nchi,natamani na sisi tujitenge kutoka tanzania bara ili nasi wazanzibar tuwe huru kutoka mikononi mwa wadanganyika
 
Unataka kujadili mustakbali wa Muungano upi Son of Peasant?

Zanzibar wana Katiba yao, wapi Katiba ya Tanganyika?
Zanzibar wana Bendera yao, wapi Bendera ya Tanganyika?
Zanzibar wana Wimbo wa Taifa, Wapi wimbo wa Taifa la Tanganyika?

In a real Sense, hakuna muungano!
 
Wee mtoto wa mkulima, hakuna muungano bali kuna mwingiliano-so kama una hamu ya kura ya maoni, just nenda kajiandikishe sudan tu!
 
tuwe wazuri wa kutumia lugha mwingiliano ni matusi kuna muungano

Aaaah! Mtu wa pwani usituangushe bana "mwingiliano/muingiliano(interaction)" ni matusi? hayo hatuyatarajii toka kwa mtu wa pwani, neno hilo litatafsrika baada ya maneno mengine mbele i.e ....wa...., .....baina...., .....kati ya....; then ukikusudia kutokea huko-fahuwa!
 
muungano upi? Au usanii tu wa ccm?wanzanzibar endeleeni kukomaa hivyo hivyo.
 
Haviwezi kwenda kwa pamoja?
me nataka nchi moja au iwepo nchi ya Tanganyika na nchi ya zanzibari,....

Muungano wa sasa sioni maana yake hata kidogo
 
Back
Top Bottom