Hivi Kawambwa kwa huko Bagamoyo ni kijana! au anashiriki vipi!
Hivi ni sawa kwa hao Ndugu zangu kutoa tamko au ni ukosefu wa maadali kuwa walipaswa kutumia vikao vya chama kufikisha jumbe zao La wamefuatilia ndani ya chama lakini Makamba na Secretarieti wamelala kwahiyo wamechoka kuona chama chao kinaporomoka?
Hili Gavana linakuwa swala la Kisiasa au huko kwenye kikao hakukuwepo mtaalamu wa kufafanua mipaka ya kisiasa na kitaalam yaani Kikwete wanataka afanye mambo ya kitaalam pia? au Kama Ouko kama Moi kama Kenya!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.