Baada ya JK, Rizwan naye alalama kung'olewa UVCCM

nilipofika pwani moja ya makabila niliyoambiwa sio makini lilikuwa la wakwere lakini busara yangu ilinifanya niwaheshimu sana wakwere na huku nikitaka kujua kama kweli wana matatizo kama wengine walivyodai.

Hii busara ninayo toka udogo siwezi mdharau mtu au siwezi nikashindwa kuwa na uhusiano na fulani eti tu kuna mmoja wa rafiki ama jamaa yangu anamchukia.

Rakini siku zimekwenda miaka 25 sasa nimegundua kuwa mkwere ngomani, mkwere segere, mkwere kumtoa mwali, mkwere mnuso, mkwere mnazi, mkwere na ngono, mkwere, mipasho, mkwere visasi, mkwere hushtuka hata kama ni jani limemgusa (hapa hata mabinti wakikwere wakiguswa mbavu huruka kwa ashki). Mkwere kamwe hakubali kosa zaidi ya kumsingizia mwingine hata kama kosa ni lake.
Nenda msata hutawaona hata kama wamefumaniwa husingizia kutongozwa au kutegwa.

Sina nia ya kuwadharau wakwere lakini leo mkwere akija na akijitambulisha ni mkwere mimi huongeza umakini maana hawa jamaa siwaamini na huwezi waamini wakwere katika mambo serious kama ya utawala wa nchi.

Wakwere wanafiki bwana walikuja wakajipanga kwenye foleni uwanja wa taifa eti tujue watu wa watu tukawa nao traventine kisha msondo watu wakaingizwa choo cha kike. Ni kosa kubwa kumwamini mkwere kwenye mambo ya msingi mkwere mpe kazi ya kuliendeleza segere au kuandaa ngoma ya kumtoa mwali.

hapo sasa...!
 
Unajua Riz1 alikuwa anaandaliwa aje kuwa kama familia ya Karume Znz.
Hali imekuwa ngumu baada ya kuona mkwere mwenyewe anaivuruga nchi kimaendeleo badala ya kuijenga.
Dogo ameshasoma alama za nyakati, ameona wazi kwamba akiondoka dadi madarakani basi ndio mwisho wao kusikika kt jukwaa la siasa
 
Avatar yanguuu, imekukokosea niniiii? Na ID yangu imekusikitisha niniiii.....nijibu!

Ukipata muda isome tena post yangu between the lines nimeeleza ni kwanini ninavichukia vyote viwili (avatar na jina). Ninachofanya sasa ni kuwasiliana na lawyer wangu kuona ni namna gani tutaviwekea petition viondolewe haraka sana kwani ni sumu kali kabisa kwa maendeleo ya Taifa hili linaloongoza kwa vyote umasikini na rasilimali-what a contradiction! Tumestuck kwa 10 years tuko pale pale hatumove kama tumemove basi kwa kurudi nyuma bado mnataka kutuletea disaster nyingine? Jamani kuweni na huruma japo kidogo.
 
Like father like son their days are numbered, wajifunze kwa Mubarack siku moja kabla ya maandamano kuanza mtoto wake Gamal akakimbilia London hado leo hii hajarudi.
 
Mambo ya gaddafi na mtoto wake yaliishaingia tz zamani...........siku hizi ikulu sio taasisi ni kasri la kifalume la kikwete
 
Mkuu samahani kama nitakukwaza ila let me be honest, avatar yako na jina vinanikwaza kupita maelezo. Ina maana hii nchi mnataka iongozwe na majuha mpaka lini? Tumechoka jamani tupeni mapumziko kidogo. Ngoja nitafute mwongozo kwenye hili then nitarudi.

ha ha ha ah ahaaaaaa mkuu hutaki kuongozwa na juha tena? ongeza mapambano
 
Mama Salma naye anadai lipi?
Rz 1 atalia na kusaga meno JK atakapoondoka.
Hawa wanaomuunga mkono Rz 1 ni njaa tu zinawasumbua watamgeuka vibaya mtajionea.


Nakubali sana, hawa jamaa wamesha jisahau wanadhani kila walie naye ni mtu wao , JK akimaliza muda tuu wote walio karibu yao watawageuka na kufuata upepo kwingine, siku zote wanao jipendekeza ndio waaganga nja , wao wana dhani wana marafiki tena wanaitwana Kaka.
Tena Riz! atakua na wakati mgumu sana kwasababu ndio ana kua na watu walio mzunguka ni wanamtumia tuu bila yeye kujua, na kama akijiweka kichwa ngumu kujisahau zaidi sababu baba raisi na fulani na fulani ni mtu wetu so ajipange vizuri baadae ,serikali mpya ikiingia hata kama imewekwa na baba yake, watu hubadilika ,inaweza kwua hawakubaliani na mambo ya sasa ila wana pretedn tuu ili wapate kula au ndio mbuzi chui kwnye kondoo, hali halisi hujulikana pale unapo kua huna msaada wa wenye kuganga njaa.
 
Mama Salma naye anadai lipi?
Rz 1 atalia na kusaga meno JK atakapoondoka.
Hawa wanaomuunga mkono Rz 1 ni njaa tu zinawasumbua watamgeuka vibaya mtajionea.
Ushauri wa bure kwa Riz enzi hizi ni tofati na zamani si za kutegemea madaraka ya kurithi, wakati ule viongozi walikuwa wanakaa miaka 30 hadi 40 madarakani hivyo kujijengea mitandao yenye mizizi. Kama anataka kuishi kwa raha aachane na mambo ya siasa aendeleze biashara zake lakini kama anataka siasa namwambia kamwe hatafanikiwa, maana kama anategemea mtandao wa baba yake tunavyoona unazidi kusambaratika ni kama haupo tena.
 
mkwere ye anachojua ni kuhudhuria misiba tu

kuhudhuria misiba huku anacheka!!!.............. mi nafikiri uwezo wa kufocus na kuwaza vitu muhimu hakuwa nao toka utotoni... mtoto yeyote awe wa sasa au wa zamani ukimuuliza anataka kuwa nani kamwe hawezi kukuambia kuwa anataka kuwa karani ( clerk)....... sasa nenda kamuulize mkwere alitamani kuwa nani akiwa mkubwa alipooulizwa hilo swali na wakubwa akiwa mtoto?
 
ha ha ha ah ahaaaaaa mkuu hutaki kuongozwa na juha tena? ongeza mapambano

Samora inaboa sana. Gharama ya rais juha ni kubwa sana kwani generations kibao zitalipa hiyo gharama. Watanzania watu wa ajabu sana 2005 walichemka, 2010 badala ya kujifunza kutokana na makosa wanarudia mulemule sijuwi mpaka iweje ndio wajue kwamba urais is the most sensitive post in a country. Kingine, kwa nchi nyingine mkishakuwa na rais juha basi wanawaona wote ni majuha kwani haingii akilini highest post kama ya urais anapewa juha ilihali kuna wazima? Wanashindwa kuelewa hayo yanawezekana kwa Tanzania hata kama kwingine kokote ni almost impossible.
 
Ningekuwa mimi ningeenda shule kama husein Mwinyi, Miaka mitano inatosha. Kijana changamka mwambie baba.:hug:
 
Nimesoma gazeti la Jamboleo, likieleza kuwa UVCCM inakusudia kumng'oa mtoto wa mkwere kufuatia kuwa chanzo cha jumuiya hiyo kushindwa kufanikisha malengo yake. Kama Dot Connector inaonyesha familia hii ni ya walalamishi maana hata mkwere alilalama kuwa CDM inafanya maandamano ya kumng'oa na sasa mkwere mtoto anapiga mayowe hayo hayo. Tujadilini wakuu
TENDWA HELP CCM AND KIKWETE RETURN GADDAFI'S FUNDINGS TOO OR GO DOWN WITH HIM

If one ever thought that the generous hands of Libyan dictator was only quick to oil the claimed France President's campaign machine alone then you are badly mistaken.

President Kikwete and CCM in particular are but major beneficiary of almost every other dictatorship in Northern Africa and the Middle East.

Lots of litle known projects of the said shordy fundings are already towering in our very neighbourhoods under Tendwa's watch without a word.

However, the bottomline is an increased Islamic extremist and fanatism promotions with lone mosques decorating the every othe major roadside in Tanzania even in places where children still literary long to catch a first glimpse of a person called a Moslem and how they generally appear in public.

Better give them that small bit of a whole stream of clandestine financial backing that both Kikwete and CCM have long been enjoy from dictator to continue imposing unpopular leadership on our shoulders in Tanzania.

When CCM, Kikwete and Tendwa complained on very wild allagationslabelled against CHADEMA of a possible funding from a foreign source, a things that everybody knows is an utter propaganda, the I was totally at a lose since the DIRTY MONEYS that the ruling party have lately been open to could sooner bring dire consequences to our country as much is already known out there.

The ill-fated scapegoats on CDM are but mere smear campaign that will only add, great minds of CDM follows, to love the party the more as they shun the UFISADI-infested CCM just the same way they would be doing with a person suffering from POLITICAL LEPROSY.

Much of the fundings from the North (Libya, Egypt and Iran) have all been with stringent Islamic religious extremism promotion that now threaten to tear apart our beloved country; courtesey of CCM and Kikwete quick hands at receiving such 'mean-motivated personal assistance'.

Before CCM could start throwing blames on other political parties, let them put their own house in order as a lot of well docummented foreign fundings with religious leaning to its ranks would soon be blown into the air if they ever start empty propaganda in this line.

Who knows, the desposed Hosni Mubarak who is now JOBLESS may well be wishing that millions of money he gave to CCM as part of a wider cross-continental religious schemes in Africa is return in whole today and NOT tomorrow!!!
 
Linamilikiwa na huyo huyo Rizwan likiwa chini ya mtu wake Pinto na wachangiaji wakubwa ni Salva Rweyemamu ambaye anaelezwa kuwa ndiye aliyetoa wazo la JK awe na gazeti kwa kuwa mengine ameshawakorofisha wamiliki wake hivyo wangewez akumjeruhi wakati wa kampeni 2010. Wanajamvi nadhani nimesaidia mnaweza hapo pia kuunganisha doti.

sasa nimepata picha wakikosa habari za cdm wanaandika habari za ajabu sana front page mfano "mtoto azaa mtoto mwenzie". pia kuna siku sikuamini kichwa cha hbr kimoja kwa ufupi hilo halifai kuitwa gazeti
 
Nimesoma gazeti la Jamboleo, likieleza kuwa UVCCM inakusudia kumng'oa mtoto wa mkwere kufuatia kuwa chanzo cha jumuiya hiyo kushindwa kufanikisha malengo yake. Kama Dot Connector inaonyesha familia hii ni ya walalamishi maana hata mkwere alilalama kuwa CDM inafanya maandamano ya kumng'oa na sasa mkwere mtoto anapiga mayowe hayo hayo. Tujadilini wakuu
UMESEMA HABARI INASEMA rIZWANI ANALALAMIKA AU HIYO HABARI INASEMA KUWA KUNA MPANGO DHIDI YAKE? sASA CHA KUWALAUMU NINI IWAPO HAYO MAMBO YAPO KWELI? lALAMIKO LINAENDA NA JAMBO LISILO LA UKWELI.
 
Hiyo kidogo sana, hatima ya watoto wa kikwete haina tofauti na ile ya watoto wa Sadam Hussein - Udey and Qussey. Mwanahalisi ilitufahamisha kwamba kabla ya uchaguzi kwamba Riz 1 na mdogo wake ndo walikuwa wanacoordinate mpango kabambe wa wizi wa kura pale upanga. Vyombo vyetu vya usalama havikuchukua hatua yoyote na vijana wanakula maisha kwa wizi wa kura walioufanikisha. Huyu si wa kuhurumiwa na makubwa bado yamgoja !!
 
Back
Top Bottom