Baa Maarufu Mkoani Kilmanjaro Yauza Nyama ya Mbwa...

kwa makanyaga najua nimesalimika ila km mkulima wanauza mbwa basi najua hata damu yangu itakua inafanana na ya mbwa kwa sasa
 
Bado sijaelewa hati ya mashtaka itaandikwa vipi,wameshitakiwa kwa kosa gani? Kumbuka katiba ya nchi inaruhusu raia kula chakula chochote wanachopenda.
 
Nyama zote halali isipokuwa zilizo haramwisha na sheria.

1.kiti moto haramu!

2. Mnyama yeyote anayewinda kwa kutumia makucha au anayekula wanyama wengine haramu! mfano Mbwa,chui etc

3. Nyamafu haramu.

Vingine vyote halali ,kasa, pweza,ngamia.Punda.................
 
KWA NINI POLISI WANASUMBUA BIASHARA ZA WATU?
NI SHERIA NAMBA NGAPI INYOKATAZA KULA POPI?
A%20S%2013.gif
 
aisee pale wakulima wana nyama tamu kweli alafu laini mnoo . sijui nitakuwa nimekula hii kitu ?

ad0abc0fc8565347d342daaa96513ee8_14355.jpg
 
Wanyama wengine wana upeo kidogo so si vema kuwala ebu jifikirie umkamate kasuku umbanike au umchukue W*s*r* umdumbukize kwenye maji moto
Hahahaaaaaaaaa...., uuuhahahahahahahahaaaaaa,, aiseee.., u hav made my day..., bia yangu inashuka vizuuuurii saiziii..., w*'s*r* utamfanyaje?? Hahahahahahahahahhaaaaa
 
Ci afadhali hao wamelishwa mbwa.. Nakumbuka dodoma walimfukuaga ng'ombe aliekufa kwa ugonjwa wa kimeta na kwenda kumchuna na kuuza nyama..! Yaani kuna watu wana roho mbovu kwisha kazi..
 
Back
Top Bottom