Viongozi wa wilaya wamefika nyumbani kwa familia ya mwendazake kwa ajili ya kuwasilisha taarifa ya Mh. LISSU kufika hapo.
Familia kwa unyenyekevu mkubwa wameridhia kwa masharti ya kupata baraka za Mkuu wa wilaya ya Chato.
Baada ya viongozi kuwasiliana na Mkuu wa wilaya naye ameridhia tukio hill kufanyika.
Kwa hiyo tumejipanga kushiriki TENDO hill kesho asubuhi SAA Nne. Baadaye LISSU ataenda Muganza na BUSERESERE na jioni tena atarudi hapo Chato mjini kumalizia Shughuli.
Wavuvi wote wa ziwani wamechukua Likizo na wamepaki mitumbwi yao pembeni.
Wakulima nao ,wafanyabiashara wote, story ni LISSU na Mbowe. Halo ya hewa ya Wilaya ya Chato ni PiPooooooooooz tupu.
Hata Kama Una njaa hujisikii kula.
Basis kwa sasa ni hayo Chopa ya kamanda wa anga itatatua hapa Kwenye kata ya BUZIKU Kwa mkutano wa kwanza wilayani CHATO na mkoa wa Geita kwa ujumla.