DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,674
- Thread starter
- #61

Hapo penye nyekundu, kweli mwenye asili aachi asili mdau mpaka umejisahau ukazungumza kwa picha ya ID yako kuwa kweli WEWE NI MWARABU WA DAMU NIMEKUBALI unasema UNATUPA POLE kwa hiyo wewe HAUMO HAIKUHUSU KWA KUWA WEWE SIO MTANZANIA WEWE NI MWARABU.

Big up wenye kukusoma hii nayo shule tukisema wanasema Chuki.Huu ni uongo uliotukuka.

Huu ni kutokana na watu kujirusha na kusahau kufikiria maendeleo binafsi ya uchumi wenu kama jamii na taifa kijumla.

Na kama WaTNG mtaendelea kuwa hivi basi maisha yenu yote uchumi wenu utatawaliwa na wageni kama ilivyo sasa ( kwa kukujuza ni more than 70% ya uchumi wa Tz unamilikiwa na wageni) wenyewe kila siku bilicanas.

nawapa pole kwa kuanza kumtafuta mchawi mchana huu.