Azim Dewji: Kilichosababisha Upungufu wa Umeme ni Mahitaji Kuongezeka Kwa sababu ya Kasi ya Maendeleo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,835
Pamoja na kwamba anachoongea Azim Dewji ndio ukweli wenyewe ila haters wa Samia hawawezi kumuelewa.

Watu wapumbavu wataendelea kusema wakati wa Magufuli hakukuwa na Mgao ilhali wanajua kabisa kwamba wakati wa Mwendazake kulikuwa na mdororo wa Biashara na wawekezaji walikimbia Nchi.

Ukweli ni kwamba shida za umeme zinaletwa na
-Ukame unaosababisha upungufu wa uzalishaji mara Kwa mara
-Uchakavu wa Miundombinu ya kusafirisha,kupooza na kusambazia umeme
-Mahitaji Makubwa ya Umeme yaliyosababishwa na Kasi ya Maendeleo mfano ujenzi wa nyumba Mpya,viwanda, biashara nk.
-Kukosekana Kwa vyanzo vipya vya dharula wakati Nchi ikisubiria bwawa la Nyerere likamilike.

Kutokana na sababu hizo hapo ni lazima kuwe na mgao na katika katika ya umeme.

Mwisho Haters wa Samia lazima watapinga Kwa sababu Huwa hawataki kabisa kusikia neno Maendeleo chini ya Samia lakini wapinge au wakubali ila unaposikia uchumi umekuwa Kwa Asilimia kadhaa basi Kwa lugha rahisi ni kwamba mahitaji ya umeme yameongezeka wakati vyanzo vya uzalishaji havijaongezeka Sasa sijui unatarajia nini hapo.

Ukweli usemwe hata kama inauma ila ndio ukweli huo.Kazi iendelee 👇

=====

Mfanyabiashara mkubwa nchini, Azim Dewji amesema amefanya utafiti mdogo na kubaini kwamba tatizo la upungufu wa umeme nchini, linasababishwa na kuongezeka kwa mahitaji kutokana na shughuli za kimaendeleo wanazozifanya wananchi.

Akizungumza na waandishi wa habari Januari 13, 2023, Dewji amesema kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mahitaji na matumizi ya umeme yameongezeka maradufu kwani ndani ya kipindi hicho, vituo vya mafuta zaidi ya 10,000 10 vimefunguliwa nchini, pasi laki 8 zimeingia nchini, oven laki 7 na elfu 50, Friji na Friza karibu laki 6 na 60 na TV laki 6, vifaa ambavyo vyote vinatumia umeme.

Dewji ameongeza kuwa sababu nyingine zinazoleta tatizo la uhaba wa umeme ni baadhi ya mikoa kuunganishwa kwenye Gridi ya Taifa ndani ya kipindi cha Rais Samia, viwanda vingi vipya kufunguliwa na ujenzi wa hoteli na nyumba za makazi zipatazo laki 6 na laki 7 ndani ya kipindi hicho.

Pia amesema sababu nyingine ni pamoja na kila hospitali ya mkoa kuwa na mashine kubwa za X Ray, CT Scan na MRI na kadhalika ambazo zote zinatumia umeme.

Sambamba na hayo Mzee Azim Dewji ameipongeza Serikali ya Rais Samia kwa kukamilisha sehemu kubwa ya mradi wa Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwani utasaidia kupunguza uhaba wa umeme kwa kiasi kikubwa.
 
Pamoja na kwamba anachoongea Azim Dewji ndio ukweli wenyewe ila haters wa Samia hawawezi kukuelewa.

Watu wapumbavu wataendelea kusema wakati wa Magufuli hakukuwa na Mgao ilhali wanajua kabisa kwamba wakati wa Mwendazake kulikuwa na mdororo wa Biashara na wawekezaji walikimbia Nchi.

Ukweli ni kwamba shida za umeme zinaletwa na
-Ukame unaosababisha upungufu wa uzalishaji mara Kwa mara
-Uchakavu wa Miundombinu ya kusafirisha,kupooza na kusambazia umeme
-Mahitaji Makubwa ya Umeme yaliyosababishwa na Kasi ya Maendeleo mfano ujenzi wa nyumba Mpya,viwanda, biashara nk.
-Kukosekana Kwa vyanzo vipya vya dharula wakati Nchi ikisubiria bwawa la Nyerere likamilike.

Kutokana na sababu hizo hapo ni lazima kuwe na mgao na katika katika ya umeme.

Mwisho Haters wa Samia lazima watapinga Kwa sababu Huwa hawataki kabisa kusikia neno Maendeleo chini ya Samia lakini wapinge au wakubali ila unaposikia uchumi umekuwa Kwa Asilimia kadhaa basi Kwa lugha rahisi ni kwamba mahitaji ya umeme yameongezeka wakati vyanzo vya uzalishaji havijaongezeka Sasa sijui unatarajia nini hapo.

Ukweli usemwe hata kama inauma ila ndio ukweli huo.Kazi iendelee 👇

View: https://www.instagram.com/reel/C2EwtcNr9wz/?igsh=YW1hMWVoNWRrbW5r

Anaongea kama nani huyu gabachori? Ndio maana walitekwa.
 
Kama walijua uwezo wa kuzalisha umeme ni mdogo kwa nini wanahangaika kupeleka kila kijiji ?
Vijiji vingi wanatumia umeme Kwa kuwashia tuu na kiufupi ni watu wachache wameunga umeme Vijijini licha ya kufikiwa na Huduma na bei kuwa nafuu ila wanakwamba kwenye malipo ya wiring.

Unakuta unalipia 27,00/ lakini wiring inakuhitaji zaidi ya 100k hapo wanavijiji ni shida.
 
Pamoja na kwamba anachoongea Azim Dewji ndio ukweli wenyewe ila haters wa Samia hawawezi kumuelewa.

Watu wapumbavu wataendelea kusema wakati wa Magufuli hakukuwa na Mgao ilhali wanajua kabisa kwamba wakati wa Mwendazake kulikuwa na mdororo wa Biashara na wawekezaji walikimbia Nchi.

Ukweli ni kwamba shida za umeme zinaletwa na
-Ukame unaosababisha upungufu wa uzalishaji mara Kwa mara
-Uchakavu wa Miundombinu ya kusafirisha,kupooza na kusambazia umeme
-Mahitaji Makubwa ya Umeme yaliyosababishwa na Kasi ya Maendeleo mfano ujenzi wa nyumba Mpya,viwanda, biashara nk.
-Kukosekana Kwa vyanzo vipya vya dharula wakati Nchi ikisubiria bwawa la Nyerere likamilike.

Kutokana na sababu hizo hapo ni lazima kuwe na mgao na katika katika ya umeme.

Mwisho Haters wa Samia lazima watapinga Kwa sababu Huwa hawataki kabisa kusikia neno Maendeleo chini ya Samia lakini wapinge au wakubali ila unaposikia uchumi umekuwa Kwa Asilimia kadhaa basi Kwa lugha rahisi ni kwamba mahitaji ya umeme yameongezeka wakati vyanzo vya uzalishaji havijaongezeka Sasa sijui unatarajia nini hapo.

Ukweli usemwe hata kama inauma ila ndio ukweli huo.Kazi iendelee 👇

View: https://www.instagram.com/reel/C2EwtcNr9wz/?igsh=YW1hMWVoNWRrbW5r

Wapumbavu ni kama wewe. Wewe ni mfano wa wapumbavu na shetani la nchi hii. ***** kufa shetani wewe.
 
Haiondoi ukweli wa nilichoandika Wala kufuta anachosema Dewji regardless of how much mapovu unayo vommit.

Wafanyabiashara na wawekezaji walikimbia Nchi awamu ya 5.

Tanzania ya Viwanda Inatekelezwa awamu ya 6 baada ya Magufuli Kushindwa 😁😁
 
Pamoja na kwamba anachoongea Azim Dewji ndio ukweli wenyewe ila haters wa Samia hawawezi kumuelewa.

Watu wapumbavu wataendelea kusema wakati wa Magufuli hakukuwa na Mgao ilhali wanajua kabisa kwamba wakati wa Mwendazake kulikuwa na mdororo wa Biashara na wawekezaji walikimbia Nchi.

Ukweli ni kwamba shida za umeme zinaletwa na
-Ukame unaosababisha upungufu wa uzalishaji mara Kwa mara
-Uchakavu wa Miundombinu ya kusafirisha,kupooza na kusambazia umeme
-Mahitaji Makubwa ya Umeme yaliyosababishwa na Kasi ya Maendeleo mfano ujenzi wa nyumba Mpya,viwanda, biashara nk.
-Kukosekana Kwa vyanzo vipya vya dharula wakati Nchi ikisubiria bwawa la Nyerere likamilike.

Kutokana na sababu hizo hapo ni lazima kuwe na mgao na katika katika ya umeme.

Mwisho Haters wa Samia lazima watapinga Kwa sababu Huwa hawataki kabisa kusikia neno Maendeleo chini ya Samia lakini wapinge au wakubali ila unaposikia uchumi umekuwa Kwa Asilimia kadhaa basi Kwa lugha rahisi ni kwamba mahitaji ya umeme yameongezeka wakati vyanzo vya uzalishaji havijaongezeka Sasa sijui unatarajia nini hapo.

Ukweli usemwe hata kama inauma ila ndio ukweli huo.Kazi iendelee 👇

View: https://www.instagram.com/reel/C2EwtcNr9wz/?igsh=YW1hMWVoNWRrbW5r

Umri umemtupa karibia anakufa!!! Hana namna lazima akili ijae udini mtupu!!!

Kobaz nawakubali katika umoja wenu!! Hata majizi ya dini yenu mnaungana kuyatetea!
 
Back
Top Bottom