DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,674
Kwa waliopitia gazeti la Mwananchi la leo tarehe 10 october 2011,watakuwa wameona kwenye ukurasa wa kumi na tatu [13] wenye kichwa cha habari kisemacho HONGERA SHIRIKA LA TAIFA LA NYUMBA [NHC].Kichwa cha habari hicho ni kejeri ya Azim Dewji kwa shirika letu hilo ambalo kwa sasa ni chepuo jipya la aina mpya ya utendaji wenye dila wa vijana wa aina yake wanaotoa matumaini kwenye awamu hii ya Kikwete angalau ameibua vijana wenye nia njema na Taifa.
Azim ametumia gazeti hilo kulimwagia lawama shirika la nyumba la Taifa [NHC] kuwa linawatendea Wahindi na Waarabu kuwa wamebaguliwa kwa kuombwa kujaza form zao uasilia wa asili ya ujamii wao kama ni Waafrika,Wahindi, Waarabu, Wazungu au Wachina.Ametumia nafasi hiyo kuwalaumu NHC kuwa kwanini NHC isiuze nyumba zake kwa wakazi wanaoishi kwenye nyumba hizo ambao kitakwimu za kawaida za maisha ya kila siku wakazi wengi wa nyumba hizo ni Wahindi , Waasia na Wamatumbi ambao wengi wako kwenye nyumba za NHC zilizoko kwenye mikoa yetu.
Azim Dewji awambie Watanzania wenzake wenye asili ya Kiasia kuwa hata Ulaya na Marekani ambako kuna demokrasia iliyokithiri ya uhuru wa kila raia hayo yanayofanya na NHC wanafanya na kuuliza sembuse Watanzania.Waambiwe wawapishe Watanzania wengine kwenye nyumba walizo kaa toka mababu zao, shirika liko kuhudumia Watanzania wote hiyo chuki yako na waasia wenzenu kuwa Waasia na Waarabuu wanabaguliwa nyie wenyewe ndio mnajibagua ndio maana mnaishi mitaa ya Uhindini,mbona Wabantu [Wamatumbi] swala la NHC hawana mjadala nalo mkubwa kama ninyi msiotaka kuitwa Watanzania pasipo kuitwa Watanzania wenye asili ya Kiasia.Mngelijua mnabaguliwa mngepigania toka enzi ya Mwalimu mitaa yenu isiitwe uhindini.usipinagane na ukweli [reality] chini ya kivuli cha ubaguzi wa rangi uliopiganiwa na baba wa Tiafa.
Hakika Waasia na Waarabu walimsaliti Mwalimu JK kwa kuwa aliwapigania akifikili ya kuwa Waasia na Waarabu ni Watanzania wa dhati kwa misingi ya kuwa utu wa mtu si rangi bali ni moyo wa mtu.Lakini kinyume Waasia na Waarabu wamekuwa ndio magwiji na vinala wa kuhujumu Taifa katika miradi na mikakati yote muhimu ya ujenzi wa Tifa hili.
Watanzania wenye asili Kiasia ambao ni wazalendo kama Pro Shivji ni kipimo cha Waasia wachache ambao bila kupinga mimi mwenyewe na salute kwa mzee huyo kuwa ni Mtanzania wa dhati kwa uzalendo wake kwa Taifa kuliko hata hawa wenye kujiita Watanzania kwa vigezo vya rangi ya ngozi yao ambao ni majority.Ndio maana kwenye mikakati kama hii ya kwenu wewe na mzee wa Sabodo wazee kama hawa hawamo kuwasupport kwa kuwa wanajua kabisa jamii yako Watanzania wenye asili ya Kiasia MATENDO YAO NA MANENO YAO HAYAENDANI NA UKWELI [REALITY] WANAVYOISHI NA WATANZANIA WENZAO WENYE ASILI YA KIMATUMBI KAMA AMBAVYO MZEE KAMA PRO SHIVJI AU MWANAHARAKATI RAJAN WANAISHI NA WATANZANIA WENZAO.
Wangekuwa Waasia na Waarabu wanaishi Mbagala,Tandika au Kimanzichana msingeleta uchafu huo wa kulipaka matope shirika na bidii za Kikwete za ujenzi wa Nchi.
Hakika wanajamii nawasilisha