Azam tv kwa nini King’amuzi chenu hafifu?

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,636
3,620
Yaani ubora ni hafifu sana tena sana kwa nini? Mnakwama wapi?
Achana na dstv hata king’amuzi vya kenya tu vinawashinda ubora? Mnatuangusha sasa tutawahama
 
'Tutawahama' wewe na nani?

Teknolojia ya mambo ya televisheni huku kwetu bado inakuja taratibu hivyo upatacho shukuru kwangu mimi naona Azam wamesaidia kuleta changamoto kwenye masuala ya Televisheni hapa nchini.

Mimi kama mteja mwenye kumiliki zaidi ya dekoda 20 za azam kwenye biashara zangu mbalimbali
Teknolojia hiyo ya kisasa ndio tunaitaka inakuwaje mpaka kenya wanatuacha
 
Yaani ubora ni hafifu sana tena sana kwa nini? Mnakwama wapi?
Achana na dstv hata king’amuzi vya kenya tu vinawashinda ubora? Mnatuangusha sasa tutawahama
Ukiingia katika package za kulipa za Azam kwenye mitandao ya pesa hata huzioni wengine hatujakatiriri vifurushi
 
Mimi kama mteja mwenye kumiliki zaidi ya dekoda 20 za azam kwenye biashara zangu mbalimbali
Teknolojia hiyo ya kisasa ndio tunaitaka inakuwaje mpaka kenya wanatuacha
Acha kujilinganisha na Kenya kwenye mambo yako.
 
ubora kwenye upande upi kiongozi? kama ni quality basi tambua kuwa most of channels za Tanzania hazina quality nzuri badilisha station. King'amuzi chao kinaruhusu kupokea channels za HD 720p Hakikisha unatumia waya wa HDMI sio zile AV Cables.
Hizo waya ndiyo zip mkuu?
 
Back
Top Bottom