Fact 98% mkuu!'Tutawahama' wewe na nani?
Teknolojia ya mambo ya televisheni huku kwetu bado inakuja taratibu hivyo upatacho shukuru kwangu mimi naona Azam wamesaidia kuleta changamoto kwenye masuala ya Televisheni hapa nchini.
Kamuuzie Prof Kabudi mkuuAzam TV ni wababaishaji sana,Mimi siwataki kabisa! Dish lao natafuta mtu nimuuzie akalizibe awe anakaangia hata samaki!
..Azam TV ni wababaishaji sana,Mimi siwataki kabisa! Dish lao natafuta mtu nimuuzie akalizibe awe anakaangia hata samaki!
'Tutawahama' wewe na nani?
Teknolojia ya mambo ya televisheni huku kwetu bado inakuja taratibu hivyo upatacho shukuru kwangu mimi naona Azam wamesaidia kuleta changamoto kwenye masuala ya Televisheni hapa nchini.
Mimi kama mteja mwenye kumiliki zaidi ya dekoda 20 za azam kwenye biashara zangu mbalimbali'Tutawahama' wewe na nani?
Teknolojia ya mambo ya televisheni huku kwetu bado inakuja taratibu hivyo upatacho shukuru kwangu mimi naona Azam wamesaidia kuleta changamoto kwenye masuala ya Televisheni hapa nchini.
Damn..Azam TV ni wababaishaji sana,Mimi siwataki kabisa! Dish lao natafuta mtu nimuuzie akalizibe awe anakaangia hata samaki!
Ukiingia katika package za kulipa za Azam kwenye mitandao ya pesa hata huzioni wengine hatujakatiriri vifurushiYaani ubora ni hafifu sana tena sana kwa nini? Mnakwama wapi?
Achana na dstv hata king’amuzi vya kenya tu vinawashinda ubora? Mnatuangusha sasa tutawahama
Acha kujilinganisha na Kenya kwenye mambo yako.Mimi kama mteja mwenye kumiliki zaidi ya dekoda 20 za azam kwenye biashara zangu mbalimbali
Teknolojia hiyo ya kisasa ndio tunaitaka inakuwaje mpaka kenya wanatuacha
Hizo waya ndiyo zip mkuu?ubora kwenye upande upi kiongozi? kama ni quality basi tambua kuwa most of channels za Tanzania hazina quality nzuri badilisha station. King'amuzi chao kinaruhusu kupokea channels za HD 720p Hakikisha unatumia waya wa HDMI sio zile AV Cables.
Azam TV ni wababaishaji sana,Mimi siwataki kabisa! Dish lao natafuta mtu nimuuzie akalizibe awe anakaangia hata samaki!