Azam tv kulikoni mbona mnanizingua

Menapitatu

Senior Member
May 12, 2013
195
86
Wadau mbona chanel zangu leo zinaandika Smart card never paired msaada tafadhali tatizo nn
 
Labda ujaribu kuchomoa kadi na kuirudisha tena. Inawezekana imekaa vibaya ingawa mimi sio mtaalam nabahatisha tu.
 
Back
Top Bottom