Azam Media na hadaa za heri ya Christmas na mwaka mpya

Mkuu mbona unaongea kama umekatwa kichwa? Hebu jifunze kwanza kuandika kisha urudi jukwaani kuwasilisha maoni yako badala ya lugha zinatweza heshima yako na kuutangazia umma kiwango chako cha elimu pasipo wewe mwenyewe kufahamu.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kwan mtu akijua kiwang chng cha elimu kuna tatizo gan,ww huend una kiwango kikubw cha elimu ya kukariri ndo maan umekuw na mawazo mfu,mtu aliyeelimika hawez kuwa na mtazamo hasi km wako
 
Ili kampuni ipate license ya kurusha matangazo lazima ikubaliane na masharti ya license/kibali .

Kama Azam watakuwa wamevunja masharti ya license yao kwa kuonyesha upendeleo wa kiimani basi nadhani tuonyeshe hicho kipengele katika masharti ya kibali chao ili tuweze kuchambua as Great thinkers.
 
Kwan mtu akijua kiwang chng cha elimu kuna tatizo gan,ww huend una kiwango kikubw cha elimu ya kukariri ndo maan umekuw na mawazo mfu,mtu aliyeelimika hawez kuwa na mtazamo hasi km wako
Wewe eleza wimbo gani wanaoutumia Azam na wanaruka maneno ya Christmas maneno gani yanayorukwa yataje one by one unakurupuka chaka kukata gogo unakuja kutuandikia vitu nusu nusu unatuumiza ubongo acha bla bla hazikusaidii kitu,
 
Wanatumia wimbo uneimbwa na nani? Wimbo gani? Uliotoka mwaka gani? Jingle inaitwaje? Unafichaficha alafu unataka kuelezwa nini? Stupid nonsense
Mkuu ukiona shairi hujalielewa ujue hujatungiwa wewe, subiri mada utayoelewa utachangia sio lazima iwe hii. Pita kimya kimya utajifunza kwenye maoni ya walioelewa

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Naona Azam Media ni kama wanajilazimisha kutoa salamu za Christmass kwa watazamaji wao, maana matangazo yao yote wanaishia kuliruka neno Christmas na kutaja heri ya Mwaka Mpya.

Binafsi naona kama wanajichosha bure tu tu sijui ni katika Muktadha wa dini yao kupingana na shamra shamra za Christmass maana Jingle wanatumia za Christmass ila kulitamka wanapata kigugumizi.

Nawasihi Azam Media wajikite katika kuheshimu imani za watazamaji wao wote maana wao wamejitanabaisha kama Media isiyo na udini lakini kwa ndani wana itikadi za kidini kwa kubeza dini moja na kuheshimu imani moja pekee.

Azam Media Badilikeni, tambueni kuna Great Thinker tunawafuatalia kwa karibu pamoja na maudhui yenu.
Bakhresa mdini sana, mkoloni na mbaguzi sana, sema watanzania wajinga sana AZAM ni media mahususi kwa waislamu, wakristo wana lazimisha hawajitambui.
 
Nimetoka kapa yaan ina pigwa "we wish you Merry Christmas we wish you Merry Christmas and Happy New Year" Ila Merry Christmas wanayakata au inakuaje emu eleza vizuri wewe mtoa mada usiwe km balango
Ahahaha! Balango ndio Nani aisee?
 
Back
Top Bottom