Azam Media na hadaa za heri ya Christmas na mwaka mpya

ministrant

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
554
1,134
Naona Azam Media ni kama wanajilazimisha kutoa salamu za Christmass kwa watazamaji wao, maana matangazo yao yote wanaishia kuliruka neno Christmas na kutaja heri ya Mwaka Mpya.

Binafsi naona kama wanajichosha bure tu tu sijui ni katika Muktadha wa dini yao kupingana na shamra shamra za Christmass maana Jingle wanatumia za Christmass ila kulitamka wanapata kigugumizi.

Nawasihi Azam Media wajikite katika kuheshimu imani za watazamaji wao wote maana wao wamejitanabaisha kama Media isiyo na udini lakini kwa ndani wana itikadi za kidini kwa kubeza dini moja na kuheshimu imani moja pekee.

Azam Media Badilikeni, tambueni kuna Great Thinker tunawafuatalia kwa karibu pamoja na maudhui yenu.
 
Waarabu wanavimba ndani ya nchi yetu

Wanajiona wajanja kwasababu ya ligu kuu

Hawajui inahitaji dkk moja tu azam kupotea hewani warudi kwao

Wanaweza wasipotee ndani ya miaka sita ijayo kwasababu fulani ila mienendo yao lazima wataondoka

Muda ni mwalimu
Kwani kuna aliyelazimishwa kutazama Azam? Chanel za dini si zipo kibao kwnn ulielie na Azam? Kuna upendo tv na nyingine nyingi tu, mnaendekeza sana mambo ya Udini matahira nyinyi, anzisheni nchi yenu basi au hamieni Roma maana hii sio nchi ya kidini ndio maana kuna watu wa dini zote na tunaishi kwa upendo tu, sasa nyie matahira wachache msio na akili mnaleta mambo ya kipuuzi
 
Kwan kuna aliyelazimishw kutazama Azam? Chanel za dini si zipo kbao kwnn ulielie na Azam? Kuna uoendo tvna nyingne nyingi tu,mnaendekeza sn mambo ya Udini matahira nynyi,anzisheni nchi yenu bac au hamieni Roma maan hii sio nch ya kidini nd maan kuna watu wa dini zte na tunaishi kwa upendo tu,sasa nyie matahira wachache msio na akili mnaleta mambo ya kipuuzi
Mkuu mbona unaongea kama umekatwa kichwa? Hebu jifunze kwanza kuandika kisha urudi jukwaani kuwasilisha maoni yako badala ya lugha zinatweza heshima yako na kuutangazia umma kiwango chako cha elimu pasipo wewe mwenyewe kufahamu.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi naona kama wanajichosha bure tu tu sijui ni katika Muktadha wa dini yao kupingana na shamra shamra za Christmass maana Jingle wanatumia za Christmass ila kulitamka wanapata kigugumizi.

Nawasihi Azam Media wajikite katika kuheshimu imani za watazamaji wao wote maana wao wamejitanabaisha kama Media isiyo na udini lakini kwa ndani wana itikadi za kidini kwa kubeza dini moja na kuheshimu imani moja pekee.

Azam Media Badilikeni, tambueni kuna Great Thinker tunawafuatalia kwa karibu pamoja na maudhui yenu.
Wanatumia wimbo uneimbwa na nani? Wimbo gani? Uliotoka mwaka gani? Jingle inaitwaje? Unafichaficha alafu unataka kuelezwa nini? Stupid nonsense
 
Naona Azam Media ni kama wanajilazimisha kutoa salamu za Christmass kwa watazamaji wao, maana matangazo yao yote wanaishia kuliruka neno Christmas na kutaja heri ya Mwaka Mpya.

Binafsi naona kama wanajichosha bure tu tu sijui ni katika Muktadha wa dini yao kupingana na shamra shamra za Christmass maana Jingle wanatumia za Christmass ila kulitamka wanapata kigugumizi.

Nawasihi Azam Media wajikite katika kuheshimu imani za watazamaji wao wote maana wao wamejitanabaisha kama Media isiyo na udini lakini kwa ndani wana itikadi za kidini kwa kubeza dini moja na kuheshimu imani moja pekee.

Azam Media Badilikeni, tambueni kuna Great Thinker tunawafuatalia kwa karibu pamoja na maudhui yenu.
Great thinkers hawana jicho la kuona upuuzi unaoona,we unaona dini tu,great thinker gani!?..Kama unataka Christmas wishes jingles play kwenye PC,radio au simu yako,usimpangie mtu Cha kufanya na Mali zake,upendo TV ipo,fungua utskuna na Xmas jingles unazotaka
 
Back
Top Bottom