kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,319
- 12,622
- Thread starter
- #21
Sio kweli kuwa hakuna timu iliyomtaka, Fei hakuwa na 140m za kuvunja mkataba, alipewa. Wengi tulipiha kelele humu juu ya mlango ule uliofunguliwa kumpitisha Fei kutoka Yangà kwenda Azam. Ni mlango huohuo utumike kwa Dube pia ambae anasema Hana furaha Azam. Mlango ule haupaswi kufungwā tena na wala haufungiki tena.Hakuna timu iliyomtaka, yeye kama yeye ndio alivunja mkataba