Awamu ya Tano: Wakandarasi wamedharaulika sana

Tena mnyooshwe sana. Pesa mnalipwa, miradi hamkamilishi kwa wakati, matoa ubora duni, yani wataalam wetu wa ndani ni vihiyo ndio maana tumejawa na viongozi mafisadi kwa sababu watanzania wote ni mafisadi wamezoea kuishi kwa ujanja ujanja

Kanyaga twende mpaka mnyooke muanze kuheshimu pesa za serikali.
 
Kazi zote wapewe TBA, wataalam wa "Expansion joints" kama nabweni ya mlimani.
 
Siyo kudharaulika tu hata madeni yao hawalipwi
Inachekesha ati unaingiamkataba na serikali, mkataba wa kisheria kabisa uliopatikkana kwa zabuni.

Kazi inafanywa na kukamilika.
Malipo ya kazi yanapodaiwa etu ndio unaambiwa yameenda kuhakikiwa!

Hapo ujue hakuna malipo.
 
Pamoja na hayo, awamu hii serikali imeingia hasara sana hasa msjengo ya serikali mengi yamejengwa chini ya kiwango kwa kutumia mafundi mchundo.
Mengine yana nyufa, tukaambiwa expansion joint na mengine yamebomolewa na kujengwa upya
Katika utawala wa Awamu ya Tano, kwa makandarasi mambo ni magumu sana.

Ukandarasi maana yake ni kufanya kazi kwa ajili ya mtu mwingine (sasa ni serikali), kimkataba.

Makandarasi ni kada iliyoenea nchi nzima, na kada hii imetumika sana katika kampeni Awamu ya Nne ili kuiingiza Awamu ya Tano madarakani.

Sasa hivi siyo siri makandarasi wanadhalilika na kudharauliwa.

Umoja wa makandarasi ulitoa masikitiko hivi karibuni juu ya mtizamo hasi unaoonyeshwa na viongozi wa Awamu ya Tano lakini muda mfupi baadaye tukaona ya Jaffo.

Waswahili walisema tenda wema usingojee shukrani na kwa makandarasi wajijue kuwa akili ni mukichwani mwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa nchi ameamua kuiparalaizi private sector. 2020 ndio picha kamili mtaipata.
 
Serikali imeamua kujenga yenyewe.kwa kigezo cha kupunguza gharama .sielewi washauri wa kiuchumi wa mh.rais wanafanya kazi yao ipasavyo au ni mzee kichwa ngumu. 2020 ndio picha kamili itawajia watanzania.
Inachekesha ati unaingiamkataba na serikali, mkataba wa kisheria kabisa uliopatikkana kwa zabuni.

Kazi inafanywa na kukamilika.
Malipo ya kazi yanapodaiwa etu ndio unaambiwa yameenda kuhakikiwa!

Hapo ujue hakuna malipo.
 
Nahisi uncle hakukuta mpunga hazina na alitaka mambo yaende kasi ndiyo maana alukuja na option hiyo. Next year mambo yanaweza badilika.

Back
Top Bottom