Awamu ya Tano Matajiri waliishi kama mashetani, pesa zao ziliporwa, Bureau De Change zilifungwa, wakabambikwa kesi nzito

Hautakiwi kuashughulikia walioshinda tenda inabidi ushughulikie waliotoa tenda. Mtu mpaka anapata tenda serikalini kuna watu kibao wameshaipitisha na wana gawio kubwa kuliko hao waliopata tenda. Kuwatesa walioshinda tenda ni kazi bure maana waliofanikisha ubadhirifu wa mali na fedha za umma wapo na wanakula maisha. Kuna watu wamepewa dhamana ya kulinda mali ya umma. Hawa ndio JPM alitakiwa awafilisi na awape tabu. Mwishowe nchi hii wale waliokuwa na influence kubwa kipindi cha Kikwete bado waliendelea kipindi cha JPM. Ukimuangalia Rostam na Home Shopping Centre. Unahangaika na wafanyabiashara baada ya kuhangaika na TRA. Unahangaika na Migodi badala ya kuhangaika na mawaziri waliokubali hio mikataba. Ndio maana tulishindwa kesi zote hizo. JPM alikuwa ni Rais wa wajinga na wavivu kufikiri

Uko sahihi kabisa, nilikuwa nikiuliza sana, mbona wafanyabiashara tu ndio walikuwa wanakomolewa, lakini viongozi waandamizi wa ccm na serekali hawakamatwi kwa kushirikiana na hao wezi?
 
Uone ccm wanavyoongoza kwa hoja mitandaoni badala ya matusi.
Yawezekana ni mwanachama wetu,ninavyosema hivyo simaanishi wanaccm ni malaika hapana,wapo waliokengeuka kama wenu huko mnakokula pesa za join the chain,tofauti ni kuwa sisi tunawachuja,nyie mnawasifu.
 
Tungali tunaendelea na nyuzi za mwezi wa 3 ambao ni Mwezi wa Mungu

Kwenye awamu hii utajiri ulikuwa sawa na Uhaini , ukiwa na hela nyingi hata kama zimetokana na Mahindi uliyolima mwenyewe utakiona cha moto , kama hujaitwa kuhojiwa ama hujakamatwa na kupewa kesi ya Uhujumu uchumi , basi ukiamka asubuhi utakuta hela zako zimesombwa .

Kulikuwa na wivu wa kijinga sana ambao haufahamiki ulitoka wapi , Maduka ya halali ya kubadilishia fedha za kigeni yakavamiwa na vikosi maalum , yakasachiwa na kuporwa kila kilichomo na kufungwa , wenye mali wakakamatwa na kuhojiwa huku wakitishwa .

Wafanyabiashara wenye mafanikio waliopata tenda za serikali kwa halali wakadakwa na kuswekwa rumande , huku wengine wakipewa kesi za kutisha za Uhujumu uchumi na madawa ya kulevya , Mfano wa karibu alikuwa Yusufu Manji , Mfadhili na kiongozi wa Yanga na Diwani wa Mbagala Kuu

View attachment 2938993

Huyu alipewa kihalali kazi za kutengeneza sare zaJeshi , magari ya Polisi na Majengo ya serikali na akapata pesa akawa Tajiri , hapa kosa lake lilikuwa nini ? kuhusu namna alivyoshinda tenda waulizwe viongozi wa awali .

Mwingine katika wengi walioonewa ni Mzee Rugemalira , huyu Mzee kwanza namshukuru kwa ujasiri wake wa kugoma kuomba radhi na kukubali ule ujinga wa Plea Bargain , huyu alimiliki kihalali kampuni yake iliyoingia ubia na IPTL , kalipwa hela zake halali za Escrow akaunti akadhalilishwa na kurundikwa jela

View attachment 2939007

Ikumbukwe kwamba Rugemalira hana uhusiano wowote na huyo Harbinder , Wamekutana Jela tu , Harbinder aliletwa na watu wa serikali ili ainunue IPTL na kumdhulumu Rugemalira , kama Harbinder alikuwa na Makosa hayo hayakumhusu Rugemalira , Tunamshukuru Mama yule Tibaijuka aliyemstua Ruge kwamba kulikuwa na njama za kumdhulumu hela zake , yaani mpango ulikuwa ni kumpa hisa zote za IPTL Harbinder ili kumpiga Ruge (Hili ndio lilisababisha Tibaijuka kufutwa uwaziri , achaneni na zile porojo zingine)

Kwa wasiolewa hapa ni hivi , huyu Ruge alikuwa na hisa zake za IPTL kama vile Karamagi alivyokuwa TICS , hivi leo unaweza kuzuia hisa za Karamagi huko TICS ukaeleweka ? Kama Ruge angekuwa na Kiherehere kwa zile hisa za 30% kwenye IPTL ndiye angekuwa msemaji na kiongozi wa IPTL kama alivyokuwa Karamagi na hisa zake za 30% TICS , hapa naandika ili kuonyesha kwamba Ruge alionewa tu na ndio maana Ameachiwa huru bila masharti yoyote .

View attachment 2939017

Ni kweli kwamba kulikuwa na wezi wa mali ya umma , lakini isingewezekana kila Tajiri awe mwizi , huyu Rugemalira ndiye aliyeingiza vinywaji vitamu kwenye nchi hii kutoka ulaya kwa miaka mingi mno , zikiwemo hizo bia tamu za Heineken , mtu mwenye juhudi kama hizo awezaje kukosa hela ? Utajiri haujawahi kuwa dhambi wala umasikini siyo utakatifu , bali ni laana kuu kwa Mungu .

NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
Mzee Mwanakijiji
 
Wakulaumiwa nikale kababu kanaitwa sijui Nyerere? Hii laana yote kaisababisha yeye, alipora na kuiba nyumba za wahindi akaziita MSAJILI WA MAJUMBA/NHC, akapora na kuiba viwanda kama TPC cha Mdenish PM MOLLER, mmiliki wa MAESK LINE, sasa leo laana imetugeukia, Raisi anaiba mali za raia wake mwenyewe, matajirl wa nje wanajenga viwanda Kenya, hawathubutu kuja TZ, na bado hii laana itatuandama mpaka mwisho!!!!
 
Aiseeèee !!!!
 
Tungali tunaendelea na nyuzi za mwezi wa 3 ambao ni Mwezi wa Mungu

Kwenye awamu hii utajiri ulikuwa sawa na Uhaini , ukiwa na hela nyingi hata kama zimetokana na Mahindi uliyolima mwenyewe utakiona cha moto , kama hujaitwa kuhojiwa ama hujakamatwa na kupewa kesi ya Uhujumu uchumi , basi ukiamka asubuhi utakuta hela zako zimesombwa .

Kulikuwa na wivu wa kijinga sana ambao haufahamiki ulitoka wapi , Maduka ya halali ya kubadilishia fedha za kigeni yakavamiwa na vikosi maalum , yakasachiwa na kuporwa kila kilichomo na kufungwa , wenye mali wakakamatwa na kuhojiwa huku wakitishwa .

Wafanyabiashara wenye mafanikio waliopata tenda za serikali kwa halali wakadakwa na kuswekwa rumande , huku wengine wakipewa kesi za kutisha za Uhujumu uchumi na madawa ya kulevya , Mfano wa karibu alikuwa Yusufu Manji , Mfadhili na kiongozi wa Yanga na Diwani wa Mbagala Kuu

View attachment 2938993

Huyu alipewa kihalali kazi za kutengeneza sare zaJeshi , magari ya Polisi na Majengo ya serikali na akapata pesa akawa Tajiri , hapa kosa lake lilikuwa nini ? kuhusu namna alivyoshinda tenda waulizwe viongozi wa awali .

Mwingine katika wengi walioonewa ni Mzee Rugemalira , huyu Mzee kwanza namshukuru kwa ujasiri wake wa kugoma kuomba radhi na kukubali ule ujinga wa Plea Bargain , huyu alimiliki kihalali kampuni yake iliyoingia ubia na IPTL , kalipwa hela zake halali za Escrow akaunti akadhalilishwa na kurundikwa jela

View attachment 2939007

Ikumbukwe kwamba Rugemalira hana uhusiano wowote na huyo Harbinder , Wamekutana Jela tu , Harbinder aliletwa na watu wa serikali ili ainunue IPTL na kumdhulumu Rugemalira , kama Harbinder alikuwa na Makosa hayo hayakumhusu Rugemalira , Tunamshukuru Mama yule Tibaijuka aliyemstua Ruge kwamba kulikuwa na njama za kumdhulumu hela zake , yaani mpango ulikuwa ni kumpa hisa zote za IPTL Harbinder ili kumpiga Ruge (Hili ndio lilisababisha Tibaijuka kufutwa uwaziri , achaneni na zile porojo zingine)

Kwa wasiolewa hapa ni hivi , huyu Ruge alikuwa na hisa zake za IPTL kama vile Karamagi alivyokuwa TICS , hivi leo unaweza kuzuia hisa za Karamagi huko TICS ukaeleweka ? Kama Ruge angekuwa na Kiherehere kwa zile hisa za 30% kwenye IPTL ndiye angekuwa msemaji na kiongozi wa IPTL kama alivyokuwa Karamagi na hisa zake za 30% TICS , hapa naandika ili kuonyesha kwamba Ruge alionewa tu na ndio maana Ameachiwa huru bila masharti yoyote .

View attachment 2939017

Ni kweli kwamba kulikuwa na wezi wa mali ya umma , lakini isingewezekana kila Tajiri awe mwizi , huyu Rugemalira ndiye aliyeingiza vinywaji vitamu kwenye nchi hii kutoka ulaya kwa miaka mingi mno , zikiwemo hizo bia tamu za Heineken , mtu mwenye juhudi kama hizo awezaje kukosa hela ? Utajiri haujawahi kuwa dhambi wala umasikini siyo utakatifu , bali ni laana kuu kwa Mungu .

NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
Mbona mimi nlianzia kupata utajiri awamu hiyo?
 
Back
Top Bottom