Awamu ya tano kulikuwa na Tundu Lissu Mmoja, awamu hii kuna akina Tundu Lissu 1000

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,209
20,385
It is trending now.

Idadi ya akina Tundu Lissu wanaozidi kuibuka kila pande ya Nchi inaongezeka kwa kasi ndani ya Muda mfupi.

Kumbe awamu ya tano haikuwapunguza bali wamezidi kuota mapembe.

Sulihisho sio kuwatisha bali kuweka mazingira bora ya utawala wa sheria, demokrasia na haki.

Mdogo mdogo watafika milioni moja.

Katiba Mpya Katiba Mpya.

Futa Dp world
 
Hao akina tundu lisu ndo wale waandishi wa habari wanaopigia debe DP World
 
Mikataba inazuiliwa BUNGENI, ni ujinga kuhisi unaweza kuzuia mkataba kwa kuita waandishi wa Habari.
Kama bunge zima limenunuliwa unategemea watazuia nn. Hakuna mahali nguvu ya uma ilishindwa kuleta suluhu, kikinuka hata hao wawekezaji watakimbia wenyewe. Kama watanganyika hatutaki bandari zetu kuuzwa rais anaongoza taifa la watu gani ambao wamemruhusu kuuza bandari kwa warabu

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom