Elections 2010 Awamu ya Kwanza Kampeni ya Dr. Slaa kuelekea Ikulu

hii kali kabisa, only in tanzania
afadhali mbowe angegombea kidogo ana uwezo wa kujieleza..lakini kumweka slaa hana sera hawezi kujieleza zaidi ya lipua lipua ....
Tunataka solutions sio kusema watu....
Na hiii inaonesha wazi ...chadema ni chama cha kikabila cha wachaga ndio maana sijui huyu msomali , huyu mhindi, huyu zito ni mmanyema hatufai , sijui huyu wangwe hatufai, huyu mwarabu , huyu muislam hatufai ....
Sidhani sera hizi za kibaguzi zina mweleka mzuri kwa tanzania..na kwa hilo....inabidi muanze tena...mwaka huu tayari mmekosea.....ubaguzi wowote hauna nafasi katika nchi......
 
Vuvuzela la kichaga linaungurumisha hehehehh...bado kidogo tu nchi inakamatwa nao.Tutafaidi I say!Chaga development movement agencies.
 
Mnachekesha kweli. Hivi hawa wanaojifanya ni wafanya biashara kwani wanalipa sh. ngapi kodi ya serikali? Wanapambwa kuwa ni wafanya biashara wakubwa, lakini hatuoni kodi kama wanalipa. au ndo maana wanabeba viongozi wanao anguka majukwaani ili waendelee kufanya dirty businesses!
 
Tangu lini Msomali akafanya biashara haramu?hata waliojilipua ng'ambo hawafanyi kazi kabisa,kula benefit tu.
 
Arfi wa Chadema ana asili ya wapi?

Heshima kwako Leem,

Mkuu Arfi ni mchagaa sijui ilikuwaje akahamishwa Kilimanjaro.kuna fununu hata Zitto ni mchaga aliehamia Kigoma yaani wachaga ni watu hatari sana nasikia pia Obama anaasili ya Kimanjaro pale Marangu Mtoni.
 
lakini kikwete saa ingine hana akili timamu au washauri wake ni wabaya sana
utamwekaje kinana kuwa kampeni manager wake
 
wala usiwe na wasiwasi...

kinana si mwenzetu, ni msomali na hayo mambo ya kumiliki meli ndo kabisaaaaa yanaendana na story fulani... i dont like this guy because he thinks he is everything
Kuna issue siku moja nilikutana nayo alikua anashuka kwenye ndege akataka wote tumpishe ashuke kwanza... bahati nzuri tulikua na vijana wa leo, walimpa za uso na hata akawa depressed

he is a hell of character

Ina maana Kinana ni Pirate??:confused2::confused2:
 
lakini kikwete saa ingine hana akili timamu au washauri wake ni wabaya sana
utamwekaje kinana kuwa kampeni manager wake

Mkuu Semilong,

Hili nalo neno.Kuna utaratibu mbaya sana ambao CCM wamekuwa wakiwafanyia watazania kwa muda mrefu sana.
Hii si mara ya kwanza CCM kumteua kampeni manager mwenye utata wa uraia ,alianza Kinana akaja Rostam sijui hakuna mtanzania mzawa mwenye uwezo wa kufanya kazi ya kampeni manager.

Haya ni matusi makubwa kwa Tazania na ninategemea vyama vya upinzania watalizungumzia hili kwenye kampeni zoa ili kuwafungua macho wapiga kura.Pengine ndiyo sababu Tanzania imevamiwa kwa kasi ya ajabu na wageni wengi sehemu za kazi baada ya kugundua watanzania hawana raia mwenye uwezo wa kuwa kampeni manager wa rais wao.
 
Usishangae sana kwa hilo:

1. Kawawa kashafariki.
2. John Malecela wamemuweka pembeni na yeye kashajichokea.
3. Kingunge ana hali mbaya kwenye ubongo.
4. Mkapa watu hawampendi.
5. Lowassa ni Richmonduli na FISADI mkubwa Tanzania, watu hawapendi sana sura yake.....

Sasa kwenye CCM amebaki Mwinyi. Na Mwinyi watu tunakumbuka maneno ya Nyerere kuwa huyu bwana ni dhaifu sana kwenye uongozi kwani maamuzi yake hufanya na Mama Sitti Mwinyi wakiwa Kitandani. Sishangai akilambwa kibao. Sasa kwa CCM amebaki nani? SAS walimtukana hadi akawa amebaki Uchi wa Kisiasa. Aliyebaki ni huyo Kinana tu na wengine wachache. Vile vichwa vikali kwa CCM ndiyo vinakwisha na wamebaki watu waliowekwa pale na Wafanya biashara na wengi ni wapenda sana hela akina Serukamba na akina nani sijui. Wanapenda PORORO la ma Afande wa CCM kama Makamba anavyopenda Visenti vya akina Rostam Azziz.
lakini kikwete saa ingine hana akili timamu au washauri wake ni wabaya sana
utamwekaje kinana kuwa kampeni manager wake
 
afadhali mbowe angegombea kidogo ana uwezo wa kujieleza..lakini kumweka slaa hana sera hawezi kujieleza zaidi ya lipua lipua ....
Tunataka solutions sio kusema watu....
Na hiii inaonesha wazi ...chadema ni chama cha kikabila cha wachaga ndio maana sijui huyu msomali , huyu mhindi, huyu zito ni mmanyema hatufai , sijui huyu wangwe hatufai, huyu mwarabu , huyu muislam hatufai ....
Sidhani sera hizi za kibaguzi zina mweleka mzuri kwa tanzania..na kwa hilo....inabidi muanze tena...mwaka huu tayari mmekosea.....ubaguzi wowote hauna nafasi katika nchi......

Amekosea nini kuwaanika watafunaji wa mali ya walala hoi!
 
its becoming an obsession now

Inaonekana Kinana amekuwa more thread kuliko hata mgombea mwenyewe

halafu in all this hakuna hata chembe ya ushahidi au chochote kuthibitisha tuhuma dhidi yake
 
wakuu please someone tell me Kinana ni kabila gani?
fanya yooooote lakini epuka kuchimbachimba makabila ya watu. dalili ya ubaguzi
mambo ya kubaguana na kujuana waachie ccm sisi tubakie na dhana ya umoja na udugu
 
Na Mwinyi watu tunakumbuka maneno ya Nyerere kuwa huyu bwana ni dhaifu sana kwenye uongozi kwani maamuzi yake hufanya na Mama Sitti Mwinyi wakiwa Kitandani...
Kama kweli Nyerere alisema hivi basi alikuwa hana akili, yeye ndiye alimuweka Mwinyi madarakani, hakujuwa tangu awali kuwa huyu ni dhaifu? na yeye ndiye aliyemuweka Mkapa hakujuwa kama huyu bwana ni mwizi yeye na mkewe?
 
Vuvuzela la kichaga linaungurumisha hehehehh...bado kidogo tu nchi inakamatwa nao.Tutafaidi I say!Chaga development movement agencies.
wewe unataka kiongozi muadilifu na mwenye kuleta maendeleo au unataka kiongozi mzungumzaji
 
hivi aliyebaki msafi ni huko nani..??
kila mtu maskandali...twaongoza na genge nini??
 
Back
Top Bottom