yeah ukiniona lazima udate na mimi lakini nakushauri usinisogelee maana moja kati yetu lazima aliwe...
Jamani wana JF najihisi nagundu,maana kwenye acount yangu sina rafiki hata mmoja,ukizingatia sijui hata nawapataje,halafu mbona hamnijibu hoja zangu au ni za kimbwiga???Na nikianzisha topic hata hamchangii kulikoni??halafu wajameni mbona hata likes sipati??msinifanyie hivyo wajameni nisameheni bure kama kuna tatizo au avatar yangu ndio inatibua nyongo zenu??maana nyie nao mhhh......kidogo tu mnamaindi...
karibu ,nikutekenye mdada...sipendi kusema haya ila nijaribu uje usimulie
mmmmhhhh nikuangusage kisha sampi sangu mwenyewe au?Mwaaaaaaa! Mi penda wewe manake huniangushi!
Mkuu uzi mzima umeusoma lakini kabla hujatoa maamuzi mazito? jamaa anasema ukimwona demu akivua nguo dume!Salito karibu sana JF, nimekutumia maombi ya urafiki. Karibu sana.
mmmmhhhh nikuangusage kisha sampi sangu mwenyewe au?
Jamani wana JF najihisi nagundu,maana kwenye acount yangu sina rafiki hata mmoja,ukizingatia sijui hata nawapataje,halafu mbona hamnijibu hoja zangu au ni za kimbwiga???Na nikianzisha topic hata hamchangii kulikoni??halafu wajameni mbona hata likes sipati??msinifanyie hivyo wajameni nisameheni bure kama kuna tatizo au avatar yangu ndio inatibua nyongo zenu??maana nyie nao mhhh......kidogo tu mnamaindi...
Wiki ya kwanza ya kwaresma ili tufunge ndoa mkesha wa pasaka!lini nimwombe mzee DC alete barua yangu ya posa?
King'asti,naomba tuwe marafiki,nakuahidi nitakuwa mwadilifu,no cheating!