Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,929
Hahahaha hahah,si -tu - si ! ? ( c2c) Umeniacha Msamvu !
Pole sana hii inaonekana maeneo machache sana ya dar,so huko km uko mkoani ndio kbs wala huijui lol!
Hahahaha hahah,si -tu - si ! ? ( c2c) Umeniacha Msamvu !
anza na avatar za jf... Mi huku torabora sioni ITV etc
miss chagga hilo au lako hadi linanukia....safi sananimependa hii yako sana loh
miss chagga hilo au lako hadi linanukia....safi sana
By avatar unamaanisha nembo/ logo?
Mie navutiwa na nembo ya jamhuri ya muungano ya tz.
Cantalisia upo?? Missed u mummy!! Mi nimepoteaaa, ila nipo kidogo kidogo!hahahaha hahah,
pole sana hii inaonekana maeneo machache sana ya dar,so huko km uko mkoani ndio kbs wala huijui lol!
Navutiwa na katavi, mikatabafeki na Rejao ..
Navutiwa na CNN
Na mi mwenyewe
navutiwa na wewe tuuu..baasi!!
Tatizo mi natumia king'amuzi so hakishiki ITV wala STAR TV
Pamoja ulicomment long time, nimekukumbuka mkuu, umepotelea wapi?
mi nipo mkuu wangu ,
ila huku kijijini shida ya internet si unajua tena ....:scared:
unaendeleaje lakini?