Avatar ipi yenye mvuto ? Kati ya.....

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,773
Wanabodi,
Katika hizi siku za karibuni , nimefatilia katika vituo vyetu vya Tv hapa nchini, nimegundua uwepo wa ushindani mkubwa katika vituo hivi.
Naongelea pale inaposomwa taarifa ya habari.
Vituo vingi vimebadili ama kuboresha view image ktk uenekano wa eneo pasomwapo taarifa ya habari .
Kwa mimi naichukulia image hiyo kama ndiyo avatar ya kituo husika .
Navutiwa sana na avatar ya ITV kuliko zingine .
Mdau mwenzangu una sababu yeyote ya kutoniunga mkono kwamba ITV ina mvuto zaidi image yake kuliko zingine ?
 
By avatar unamaanisha nembo/ logo?
Mie navutiwa na nembo ya jamhuri ya muungano ya tz.
 
Rudia,tena...
Mi sijaelewa unachokitaka... Ila ina uhuru wa kuendelea kusikiliza wengine walioelewa...
 
By avatar unamaanisha nembo/ logo?
Mie navutiwa na nembo ya jamhuri ya muungano ya tz.

Mbona hii huonekana tu, pale Mkuu wa kaya anapohutubia Ikulu tu ! Kama mda huu TBC Jeikei yuko hewani ndiyo hiyo huonekana.
Hujataja kituo specific .
 
Rudia,tena...
Mi sijaelewa unachokitaka... Ila ina uhuru wa kuendelea kusikiliza wengine walioelewa...

Kila kituo cha Tv , iwe TBC, CNN, STAR TV , CHANEL TEN , pale inaposomwa taarifa ya habari hua kuna taswira au image ya uonekano wa studio, hutofautiana kati ya kituo kimoja na kingine.
Kuna mvuto wa manjonjo kati ya kituo na kituo.
Mvuto huo ndy nilioulenga.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom