Australian open 2011

_50961155_rafa766.jpg

_50961156_rafainjure766.jpg

Kama kawa Kudra na uwezo ni vitu viwili tofauti....Mtu mzima mwaka huu Ndoo yake na hapa ndo kwake kwa kuanzia msimu
...Next Roland Galos kwenye udongo mwekundu
_50961157_ferrer766.jpg


Seventh seed Ferrer shows little mercy in disposing of his weakened compatriot in straight sets - Nadal, Australian Open champion in 2009, is broken seven times
 

Seventh seed Ferrer shows little mercy in disposing of his weakened compatriot in straight sets - Nadal, Australian Open champion in 2009, is broken seven times[/QUOTE]

kazi ipo kuna stage nimeona kwene repaly anatoa chozi la huzuni.
 
kazi ipo kuna stage nimeona kwene repaly anatoa chozi la huzuni.
..Mwaka Juzi Federer alilia uwanjani alipochapwa na Nadal kwenye Final iliniuma kweli mtu mzima wangu kushindwa kuweka record yake ya slam za kuvunja record ya sampras....
Nadal alianza vyema ila kupigwa straight imekuwa fedheha kwake ndo mana ametoka mchozi mana alipania kweli mwaka huu achukue all Grand Slams...
 
_50975067_fed766.jpg

FEDERER Vs DJOKOVIC inaendelea now so far mtu mzima kachapwa ya kwanza 7-6, second set wanavutana hapa
 
Naona Federer kazidiwa, na leo kuna uwezekano mkubwa akapigwa straight set. He is the best ever tennis player ila naona sasa anaelekea ukingoni. Sijui ni kipi hasa kimempata, maana sidhani kama umri umeenda sana. Hapa ashafungwa seti 2 na seti ya tatu ashapoteza service yake moja, so anatrail 2-1 while Djocovic ndiye anaserve.

Sorry to Roger Federer, one of my favourite celebrity.
 
Dah Mtu mzima wangu kapigwa straight inauma kweli!! naona zama zake zinakwisha hapa.
Dogo Djoko anasema anaisubiria kuingalia mechi ya Murray na Ferera akiwa kwenye kitanda akipata pop corn...
Federer kwakweli leo kazidiwa sana na dogo ilikuwa alevel mchezo kwenye set namba mbili alipokuwa analead kwa 5-2 lakin ndo hivyo tena uwezo wa dogo ulikuwa juu zaidi.
 
_50976195_djoreut766.jpg

..Anamsubiria Nadhan atakuwa yule kipenzi cha waingereza...A Murray
_50973860_011124998-1.jpg

Mdada yupo fit kweli..kutakuwa na game ya nzuri on saturday nite na mchina Li
_50973443_011124184-1.jpg
 
_50973477_ligetty341.jpg

Li proves the stronger in the final set and extends her winning streak in 2011, at the same time making history for her nation(kuwa mwanamke wa kwanza wa kichina kutinga fainali kwenye Grand Slams)!!
_50973478_li_reuters766.jpg

...Pole the world number one..kajipange tena tukutane kwenye Slam nyingine kule ufaransa..
_50973479_wozreut766.jpg

..hapa kama anasema " huyu mchina kaniumbua kweli ngoja nikajipange tena!"
 
Mda si mrefu tutamalizia mchakato wetu..kipenzi cha waingereza kikiwa na kiu ya miaka 75 bila grand slam atatoshana na age mate wake Djoko kwa Final...ngoja niweke karibu supu na ndimu ili niamie Aussie melbourne
 
Mda si mrefu tutamalizia mchakato wetu..kipenzi cha waingereza kikiwa na kiu ya miaka 75 bila grand slam atatoshana na age mate wake Djoko kwa Final...ngoja niweke karibu supu na ndimu ili niamie Aussie melbourne

yah nasubiri kwa hamu . huwa nacheka sana ku uona waingereza wana ushindani na matataizo yamuungano kama sie watangayika na wazenj maana huyu Murray ni scotch Nakumbuka kuna jamaaa alimtega mwaka jana akamuuliz anapenda atambulishwe kama mscotch au muingereza ..........


I think Djokovic ataharibu ndoto za wa UK
 
Safi sana Djokovic! Umewaziba
Midomo hawa viherehere!maana huwa wanajionaga wao wanadeserve to win kila
Wakati, bila kutambua kuwa uwezo wao ni mdogo sometimes.
 
Kazi imekiwsha murray kazidiwa
_51019967_quo3getty260.jpg

Kachukua Australian open kwa mara ya pili Muingereza bado anasaka . Pole Murray

_51019970_quo2_getty260.jpg

hapa anaonekana kujiuliza sijui nifanye nini niepukanena nakipigo hiki
Picha zote kwa hisani ya BBC.

Next wanakwenda wapi? ni French open sio
 
Yea Ni Roland Galos kwenye clay court ndani ya France...sijui kama Clay court Maestro Rafa Nadal atakuwa na jeuri kama aliyokuwa nayo zaman pale france...
Djoko mwaka huu yupo vyema sana..unajua kumsambaratisha mtu Mzima FEd akiwa yupo mzima kwa straight win tena kwenye Grand Slam ni habari nzito sana..Murray jana kafanyiwa a massive destruction akijpange tena mwakani
 
2011 French Open
Tournament Dates: 22 May – 5 June

Venue: Roland Garros, Paris Holder

Men's Singles Title : Rafael Nadal

Holder Women's Single Title: Francesca Shiavone

The teasing and testing clay surface of Roland Garros has broken the hearts of many players wishing to complete a grand slam sweep. It's slow surface suiting the baseline specialist with the ability and patience to endure the long rallies common to the event.

2010 saw Rafael Nadal Roger triumph with a three set victory over Swede Roger Soderling, a losing finalist for the second year in succession. Following a competition of upsets, the Ladies final was won by Italian outsider Francesca Shiavoine, the 17th seed beating Samantha Stosur in straight sets.

2011 Wimbledon Championship
Tournament Dates: 20 June – 3 July
Venue: All England Tennis Club, London

Holder Men's Single Title: Rafael Nadal

Holder Women's Single Title: Serena Williams

The only grass tournament in the grand slam calendar, Wimbledon remains unique in atmosphere and tradition. The Men's final of 2010 failed to reach the epic heights of 2009 with Rafael Nadal overcoming Tomas Berdych in straight sets. Serena Williams took her 12th Ladies Grand Slam title with a straight forward victory over Vera Zvonareva.

2011 US Open
Tournament Dates: 29 August - 11 September

Venue: Flushing Meadows, New York

Holder Men's Single Title: Rafael Nadal

Holder Women's Single Title: Kim Clijsters

The final slam of the year is the US Open. With its high energy, high octane profile, the tournament provides a fitting climax to the grand slam year and is played in front of exuberant, extrovert crowds.

2010 saw the Men's final delayed to Monday due to rain with Rafael Nadal finally overcoming Novak Djokovic in four sets. Kim Clijsters beat Vera Zvonareva in a one sided final to lift the Women's crown.

2011 Grand Slam TennisCompetition for the four titles will be as fierce as ever in 2011. Roger Federer, Rafael Nadal, Novak Djokovic and Andy Murray will all hope to win at least one major tournament but Juan Martin del Potro and Roger Soderling should not be discounted. In the Women's game, Kim Clijsters will be a contender along with the perennial Williams sisters in what promises to be another year of exciting and enthralling tennis.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom