aunt ezekiel na shilole balaaaa!

.. Sio tu mabadiliko ya tabia nchi! kama maeneo ya ndani sikuhizi yanonyeshwa hadharani na kuzoeleka, Labda baadae ni utumbo ndio utakuwa uchi wa mwanadamu..
 
hiyo ni show tu watu mnakamuliwa vijisenti mwisho wa shoo mdada anaenda kulala peke yake anasubiria kurudi dar kwa mtu wake siku zinasonga mbele

Ni kweli, tena visenti vilivyopatikana kwa jasho hasa afu vinachukuliwa kiulainiiii. Akili kumkichwa.
 
Yeah...go on gals tafuten pesa watz kuongea ni kawaida yao ooooh utamadun utamaduni bongo...tafuten pesa katen viuno kwa raha zenuuuuuu..
 
we acha tu.wanaweza kushiriki ktk hafla hiyo kwa kuongea maneno mazuri na fans wao na naamini watawapenda tu. Ila kwa kucheza vile what do they gain? Ila sasa, our uncles zetu ndio wanachotaka. si unajua tena generation ya vijana wetu siku hizi! Kazi kweli x2.
 
Na kwa taharifa yenu kuna limbukeni mmoja keshapeleka mahali kwao anti ezekiel kakolea anataka kuoa ilo changudoa jumla
 
wallah hapo najifanya chizi na kumchapa nao hapohapo jukwaani,na hivi kufuli kwao limekuwa kituo cha polisi.
 
Eeeeeeh haya bana hapo hajalewa hivi wana wazazi

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ile mara ya kwanza alipojimwagia kojo, alisema ni pombe ndio zilimtuma. Na sasa je? Ni bangi?:A S 13:
 
Makahaba wenye viwango wako Bongo Movie!---Song: Nasema Nao, Musician: Ney wa Mitego
 
Back
Top Bottom