Aua watu 26 kwa kufuata sheria.

Mkubwa Jalala

Senior Member
Mar 21, 2012
112
23
Kuna dereva mmoja liwaganga watu 26 na kuwasababishia kifo papohapo.
Polisi wa usalama barabarani walipo muhoji ilikuwa kama ifuatavyo...
Polisi: Ilikuaje ukawagonga watu 26.
Dereva: Kulia kwangu kulikua na mtu m1 na kushoto watu 25. je ungekuwa
wewe afande ungefanyaje?
Polisi: Ningemgonga m1 nakuokoa maisha ya watu 26.
Dereva: Enhee namimi nilitaka kumgonga mtu m1 wa kulia mara akakimbilia
kushoto kwa watu 25 alifikiri sijamuona nikamfuata hukohuko.
Afande: Duuuuh!!!!!!!!!!????????????
 
Back
Top Bottom