Attention: Hakuna list official ya super league hadi sasa, CAF wanaenda kuharibu champions league

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Ndugu zangu naona vijembe vya wanayanga huku list wanayotumia ni ya yuleyule mbaya wao Micky jnr wa Ghana ambaye ndiye pekee hadi sasa aliyepost teams kumi.

CAF hawajatoa list wamesema watatoa maelezo zaidi in coming days,ila msishangae hao Yanga wakawepo kwani hadi sasa jamaa ni kama hili jambo hawana uhakika wa wanachokifanya

Ni hivi kuanzia mwakani, Format hii tunayoijua ya champions league inaenda kufa, inatumika ile format ya zamani kama ile iliyoipeleka Simba fasta fasta fainali ya CAf 1993

Yaani knock out mwanzo mwisho, yaani mechi 6(12 ukifanya home and away team iko fainali) yote hii ili iishe haraka waweze ku accomodate super league

Pia haitaitwa tena champions league itatumia jina la zamani, Africa championship cup

supaaa pic.JPG
 
Ndugu zangu naona vijembe vya wanayanga huku list wanayotumia ni ya yuleyule mbaya wao Micky jnr wa Ghana ambaye ndiye pekee hadi sasa aliyepost teams kumi

CAF hawajatoa list wamesema watatoa maelezo zaidi in coming days,ila msishangae hao Yanga wakawepo kwani hadi sasa jamaa ni kama hili jambo hawana uhakika wa wanachokifanya

Ni hivi kuanzia mwakani, Format hii tunayoijua ya champions league inaenda kufa, inatumika ile format ya zamani
yaani knock out mwanzo mwisho,yaani mechi 6(12 ukifanya homne and away team iko fainali) yote hii ili iishe haraka waweze ku accomodate super league

Pia haitaitwa tena champions league itatumia jina la zamani, africa championship cup
Mkuu ile list iliyowekwa mbona Simba na Yanga wapo wote? Imewekwa list ya timu 10 na wataongeze timu zingine 4 maana zinatakiwa ziwe timu 14.

Babra kapost Twitter kwamba wamepata invitation lakini lazima wakae chini kama Simba watakubali au hawatakubali.

Huyo dogo unayemsema ni mwandishi wa CAF ndo maana kila wanapoenda yupo hata mechi ya Yanga day na Simba day alikwepo pia, huyo ni official mwandishi wa CAF online.
 
Mkuu ile list iliyowekwa mbona Simba na Yanga wapo wote? Imewekwa list ya timu 10 na wataongeze timu zingine 4 maana zinatakiwa ziwe timu 14.

Babra kapost Twitter kwamba wamepata invitation lakini lazima wakae chini kama Simba watakubali au hawatakubali.
Hiyo list ya teams 10 Afrika nzima imeonekana kwa Micky jnr tu...ambaye pia kasema kwamba hakuna team itakayoruhusiwa kama haina teams za wanawake lakini kwenye list aliyopost nusu hazina teams za wanawake , uansema Barbara kathibitisha kupata mwaliko, yanga wao wanasemaje? maana huwa wanasifiwa kwamba wanafanya mambo yao kwa uwazi, hawajatoa update?
 
hiyo list ya teams 10 afrika nzima imeonekana kwa Micky jnr tu...ambaye pia kasema kwamba hakuna team itakayoruhusiwa kama haina teams za wanawake lakini kwenye list aliyopost nusu hazina teams za wanawake , uansema Barbara kathibitisha kupata mwaliko, yanga wao wanasemaje? maana huwa wanasifiwa kwamba wanafanya mambo yao kwa uwazi, hawajatoa update?
Walikuja na Moto kuleta Uzi lkn wamenywea ..tuwasubiri pengine watakuja na update mpya

demigod
 
Mkuu ile list iliyowekwa mbona Simba na Yanga wapo wote? Imewekwa list ya timu 10 na wataongeze timu zingine 4 maana zinatakiwa ziwe timu 14.

Babra kapost Twitter kwamba wamepata invitation lakini lazima wakae chini kama Simba watakubali au hawatakubali.

Huyo dogo unayemsema ni mwandishi wa CAF ndo maana kila wanapoenda yupo hata mechi ya Yanga day na Simba day alikwepo pia ,huyo ni official mwandishi wa CAF online.
Micky jr ni official mwandishi wa CAF? jesus christ? yesuuuu na maria, yaani mtu kajichanga vipesa vyake kukesha week hii bongo sababu kuna yanga day,simba day,mkutano wa caf na derby ndiyo unasema anasafirishwa na CAf, tangu kipindi kile mumtukane ishu ya Ki aziz anawaogopa sana, its clearly leo ile list kaandika kwa hisia zake na mmejaa king
Narudia tena, naaamini CAF hawajajipanga hili suala kabisa sitashangaa yanga wakiwepo ila ujue hapo malalamiko toka kwa el merreikh, al hilal,kaizer chiefs,zesco,zanaco lazima yawepo sababu watasema miundombinu wanayo,pesa wanazo na ki rank wako juu ya yanga
 
Ukweli hakuna timu zilizotangazwa isipokuwa wameweza vigezo watakavyotumia kama team kuwa na timu ya wanawake na academy
 
Ukweli hakuna timu zilizotangazwa isipokuwa wameweza vigezo watakavyotumia kama team kuwa na timu ya wanawake na academy
Ndiyo nashangaaa jamani..hakuna list wamesema watatoa more details in coming days na hiyo kigezo cha team ya wanawake usiwaamini CAf, ahly, zamalek, pirates orlando hawana hizo teams hata kaizer chiefs hawana labda waanzishe sababu ya hiyo issue
 
Afrika tuache kuiga. Ungeniuliza mimi ningekwambia tungewekeza zaidi kwenye mashindano ya timu za taifa. Inabidi tuwe na ligi ya kila mwaka ya mashindano ya timu za taifa za Afrika na ndiyo iwe premier league yetu.
 
Africa tuache kuiga. Ungeniuliza mimi ningekwambia tungewekeza zaidi kwenye mashindano ya timu za taifa. Inabidi tuwe na ligi ya kila mwaka ya mashindano ya timu za taifa za Africa na ndiyo iwe premier league yetu.
Ndiyo maana hata leo walikuwa na kigugumizi nilidhani itakuwa na maelezo yaliyonyooka ila mhhhh...na unajua wanaua hii format ya sasa? hakuna group stages tena, mechi 6 team iko fainali..na jina litaitw la zamani african championship cup
 
Eleweni kiswahili basi micky aliandika timu zilizothibitisha kushiriki na sio zilizochaguliwa
 
Ndiyo maana mpira wa Afrika hauendelei. Tumekaa kuiga iga tu kwa hiyo mtu akitaka kutuvuruga anatuletea fedha na wazo, sisi tunalirukia.
 
Mkuu ile list iliyowekwa mbona Simba na Yanga wapo wote? Imewekwa list ya timu 10 na wataongeze timu zingine 4 maana zinatakiwa ziwe timu 14.

Babra kapost Twitter kwamba wamepata invitation lakini lazima wakae chini kama Simba watakubali au hawatakubali.

Huyo dogo unayemsema ni mwandishi wa CAF ndo maana kila wanapoenda yupo hata mechi ya Yanga day na Simba day alikwepo pia ,huyo ni official mwandishi wa CAF online.
Micky Jnr ni kanjanja tu, hana analojua yule.
 
Eleweni kiswahili basi micky aliandika timu zilizothibitisha kushiriki na sio zilizochaguliwa
Na wakati huohuo jina la simba lipo kwenye list ilihali Barbara akisema watakaa kikao kuona kama watathibitisha kushiriki au la? Na list ya huyo m ghana alisema bado teams 14..which means zitakuwa 24...ina maana ana uhakika zitazothibitisha ni 24? the exact number needed?

Na yanga inayoendeshwa na vijana wasomi haijasema lolote kuhusu kuthibitisha au kualikwa? hata sope bin takadini anaogopa kuidhihaki team yenye points 68,000 kwamba nao wako super cup?
 
Back
Top Bottom