Simba Mwema
Member
- Dec 5, 2023
- 37
- 58
Habar wanamajumui, niende moja kwa moja kwenye mada,
Mashine za kutolea Hela (ATM) za bento ya CRDB eneo la Kigamboni zinasumhuq saana hasa wakati wa siku za wiki, mfano wa ni ile ilioko kituo cha Mbuyuni karibu na Ilioko Kigamboni Ferry wakati mwingine ziko slow saana ha mara nyingi hazifanyi kazi kabisa.
Ile iliok sheli ya Mo Oli Ferry unaweza huwa ina msururi wa watu , unaweza kutumia kuanzia Dk 30 - 50 kusubiri kuingia na ukiingiq unatumia kuanzia dk 4- 7 kufanya mwamala,
Zinasababisha usumbufu na kupoteza muda .
Wahusika walifanyie kazi suala hili