Ati Wachagga hawajui mapenzi?

Watu kama sisi tukikosekana jamvini, basi JF itakua inaboa kama kitabu cha katiba...mwanzo mwisho ni mikwara tu.
Btw kuna majukwaa huwa nakuwa realistic, nashusha nyanga halafu naondoka mojawapo ni JF Doctor, Tech na Siasa.

ha haaa, lol!
ndo uwe unakuwa real, except ID......
huoni kwa nini mimi napenda kuwa real? sitaki kujichanganya
 
lol snowhite labda tufanye mpango tuhamie kule JW ukawape experience ya wachagga walivyo fiti? LOL

NGoja nikushike mwaya....najua sitaishia hivi hivi:tongue:
ahahhahahhahhaha mi kule huwa siongozani na mtu!mi mwenywe huwa naenda nikiwa nimefumba macho ili nisione ninakoelekea!sembuse kwenda na mtu!
ahahhahhaha!AKHU!
 
Watu kama sisi tukikosekana jamvini, basi JF itakua inaboa kama kitabu cha katiba...mwanzo mwisho ni mikwara tu.
Btw kuna majukwaa huwa nakuwa realistic, nashusha nyanga halafu naondoka mojawapo ni JF Doctor, Tech na Siasa.
ha haaa, safi sana....
ndo maana unatafutwa na Snowhite, nadhani atakuwa alikukuta mitaa ya huko
 
ahahhahahhahhaha mi kule huwa siongozani na mtu!mi mwenywe huwa naenda nikiwa nimefumba macho ili nisione ninakoelekea!sembuse kwenda na mtu!
ahahhahhaha!AKHU!

hahaha na mimi tutaenda tu, mi huwezi kuniacha mwalimu....
 
Kumekuwa na maneno mitaani kuwa wachaga si wazuri kwenye 6x6 na sijawahi kupata ukweli wa tetesi hizi?

Ni kweli wachaga hawajui mapenzi?

Naomba jibu


Hata mimi niliwahi kusikia kitu kama hii kitambo kidogo kutoka kwa demu wa kichagga ila sikutilia maanani. Lakini ukiangalia kiundani zaidi unaweza kuamini kuwa ni kweli kutokana na sababu ifuatayo kuwa tendo la ndoa/ngono inapendeza pale unapokuwa stress free. Mchagga atalala na demu kitandani kwa lengo la kufanya tendo la ndoa huku anafikiria kuiba, kutapeli, kuua, na kupanga namna ya kujitetea. Kwa mpango huu mtu utaweza ku enjoy tendo la ndoa kweli? Baada ya kumshughulikia demu wewe unawaza kumaliza haraka ili ukafanye extra activities zako gizani huku demu bado akiwa na hamu na wewe. Nikija kumchukua mimi kumpa raha mnamwita malaya, ni kosa lake?
 
We Mama mia acha masihara!mimi mwenyewe nilikuwa nasikia hizo habari,ila nilipokuja kupata mpenzi wa kichaga hiyo dhana nimeifuta kabisa,watu wanapata mambomakali mpaka wanapiga vigelegele.jamani hiyo dhana haina ukweli.

Wanafundwa siku hizi
 
Yaani umeona eenh...ila all in all hakuna waliozaliwa wanayajua haya mautundu
Makabila mengine yapo juu kuliko mengine kwa kuwa tu wanazao taratibu za kufundana na kuweka wanawali ndani...
Makabila kama Wayao, Wamakonde, Wazaramo, Wadengereko na yote ya ukanda wa Pwani wamekuwa na tamaduni hizi miaka nenda miaka rudi...
Wachagga wamekuwa wakisemwa sana kwa kuwa mfumo wao wa kuendesha maisha upo tofauti kidogo na makabila mengine...
Mwanamke ni mhangaikaji na mtafutaji kama ilivyo kwa mwanaume....

Watu wangu wa nguvu Nivea, Mamndenyi, Smile na neggirl asanteni sana kwa kututetea sisi Wachagga na kueleza umma wa JF ukweli.

Mungu awabariki!!!

best kwa sentinsi hii naanza kuhisi na wewe ni wale uliosema mahala kuwa " chumbani ni wavivu kama matembele".
Na logg off.
 
Hahahah weee thubutuuuuu yaani usijaribu kabisa...kitu kinapiga mzigo kama feni!!!

best kwa sentinsi hii naanza kuhisi na wewe ni wale uliosema mahala kuwa " chumbani ni wavivu kama matembele".
Na logg off.
 
user-online.png































progress.gif






mh hii mada nimeipenda ila nasitisha kuchangia kwanza
 
Back
Top Bottom