Ati Wachagga hawajui mapenzi?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Kumekuwa na maneno mitaani kuwa wachaga si wazuri kwenye 6x6 na sijawahi kupata ukweli wa tetesi hizi?

Ni kweli wachaga hawajui mapenzi?

Naomba jibu
 
Kujua au kutokujua mapenzi ni suala la mtu binafsi na hili linaweza kutokea kwa mtu yeyote bila kujali kabila lake or ethnic group;huwezi kusema wachaga hawajui mapenzi wakati wao ni binadamu kama binadamu wengine hapa duniani.
Mapenzi ni sanaa(art) hivyo basi kuna watu wamejaliwa kufanya vizuri/wastani/vibaya.
 
Habari mama mia, kwani una mpango wa kumpenda mchaga? by the way, tatizo lako la maji wakati wa tendo la ndoa ulilipatia ufumbuzi?
 
Bullet never lie!! Umemuona mama mia? Au inawezekana mchaga ndiye aliyeona tatiza la maji?
 
Ni kweli sometimes mama mia unapoteza!! Jaribu tu siku moja, kama vipi nitafute nikuonyeshe.
 
We Mama mia acha masihara!mimi mwenyewe nilikuwa nasikia hizo habari,ila nilipokuja kupata mpenzi wa kichaga hiyo dhana nimeifuta kabisa,watu wanapata mambomakali mpaka wanapiga vigelegele.jamani hiyo dhana haina ukweli.
 
Mama Mia!
Kha sasa too much. Juzi ulikuwa na mpya,,,, majimaji cjui nini nini! Sasa wachaga eti hawajui mapenzi. What r u up 2 Mama Mia. Mie nadhani unafanya research fulani kuhusu haya mapenzi. Anyway wacha nikwambia UTAMU WA NGOMA UINGIE UCHEZE! Tafuta jamaa la kichagga halafu lipatie uone. Utatujibu hapahapa.
 
Habari mama mia, kwani una mpango wa kumpenda mchaga? by the way, tatizo lako la maji wakati wa tendo la ndoa ulilipatia ufumbuzi?
KUTOKANA NA MAONI ILIBIDI NIOMBE LIENDELEE UMBE NI STAREHE YA WENGI!!!
 
Jamani wachaga nimekaa nao 4 hivi sasa namtafuta mhaya;hata kama wanaitwa
mafataki nijaribu...ahsanten sana kwa maoni yenu ila wachaga mmhhhh!!!1labda
Aje mangi mareale
 
Walikuwa hawajui kitu hao 4 uliokaa nao. Moto haulambwi Mama mia. Karibu uonje japo kiduchu kabla ya huyo Mhaya unayemtafuta.
 
mkuu eeka mangi
naomba namba yako kama unaweza na matokeo tuyalete humu humundani
 
sasa mamia hii siyo fare mbona wachaga tu na baadae wahaya na sisi wajaluo na wakuria je?...kwa nini usitujaribu sisi wajaluo kabla ya kumtafuta mhaya na amini utakuwa umemaliza matatizo yako yote...na hopefully utafunga na thread kabisa.
 
naomba jibu
...Wachaga wa jinsi ipi? wanawake au wanaume??....mapenzi yapi unayotarajia toka kwa demu wa kichaga?Mauno kama wale watani zangu akina "uchimeche wala uchiteme", kama wanaume unatarajia nini....sprinkler kama akina " wagambaki?" au viremba kama akina "akwiii"??? Be specific Mama Mia!!
 
Sasa ni wachagga wa kike au kiume ndio hawajui mapenzi?
Mimi nawajua wachaga wa kike kweli hawajui na yule anayejitahidi kapata orientation course kutoka kwa makabila mengine. Mengi niliyoyaona mumuuuuuuuuuu! labda lakini sijui
 
Jamani wachaga nimekaa nao 4 hivi sasa namtafuta mhaya;hata kama wanaitwa
mafataki nijaribu...ahsanten sana kwa maoni yenu ila wachaga mmhhhh!!!1labda
Aje mangi mareale

- Umempata! Call me after faivu REO jioni!
 
Jamani wachaga nimekaa nao 4 hivi sasa namtafuta mhaya;hata kama wanaitwa
mafataki nijaribu...ahsanten sana kwa maoni yenu ila wachaga mmhhhh!!!1labda
Aje mangi mareale


Go ahead dear! Nilikaa na mchaga kwa kweli nina kumbukumbu mbaya nao ni kama nilikuwa nabakwa tu. But now with Mhaya .......... wooow! Watake wasitake ukweli ndo huo!
 
Inategemea unatafsiri vipi "mapenzi".
Lakini kama unaongelea mambo ya kitandani, hayo watu hujifunza kama wanavyojifunza mambo mengine mazuri, mabaya, yenye manufaa na yasiyo na manufaa. On that note, naamini wachagga nao wamejifunza kama ni kweli walikuwa hawajui mapenzi.
Vilevile sio vibaya ukajitolea kufundisha japo mmoja.
 
jamani nimekubali wanajua mapenzi; kila la kheri shemeji zangu
 
mama mia hujakosea sana hasa akisikia mlio wa mapeni ndio hawezi kamwe .pesa mbele penzi baadae.
 
Hao wachaga wanne waligundua tatizo la hayo majimaji? maana yake kama wote wanne walikuwa hawafai kimapenzi basi watakuwa walikuwa mabushoke. Sasa huko unakotaka kwenda kanda ya ziwa utakuja na issue nyingine hapahapa. Tungoje tuone!!!!!
 
Back
Top Bottom