Athari za mirungi..gomba.

Mchaga HD

Member
Jun 29, 2012
78
18
Salama wakuu.ningependa kujuwa mathara ya kula mirungi na faida yake.niliwahi kula sana mombasa na wala sikuona athari zake kwa mm binafsi..sasa nataka niache uraibu wote nianze kula mirungi.

Maana nakumbuka ulevi wake nitofauti na pombe,unautulivu kidogo.naombeni kufahamu tafadhali.
 
salama wakuu.ningependa kujuwa mathara ya kula mirungi na faida yake.niliwahi kula sana mombasa na wala sikuona athari zake kwa mm binafsi..sasa nataka niache uraibu wote nianze kula mirungi.maana nakumbuka ulevi wake nitofauti na pombe,unautulivu kidogo.naombeni kufahamu tafadhali.

Gomba (kangeta) halina madhara esp. kama utasaga in moderation
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom