ATCL wajipongeza Kigamboni Beach wakisubiri mshahara

acha wajiparty bwana nchi yenyewe iko wapi hapa

__________________
kwa raha zao wajichanilie haya maisha sio ukisubiri kupewa utapewa na HAKIMU MWANJELWA...UJUTE
 
Sawa wanajipa raha but nadhani pengine tatizo ni kwamba haikutumika busara. Kwavile sasa hivi mambo yanakuwa magumu sidhani kama ni busara kwenda kutafuna pesa pasina sababu. But si tatizo nadhani auditor yupo ikiwa hizo pesa zilitumika kwa njia ya ufisadi tutajua tu na wahusika wanganganiwe wazirudishe.
 
Habari hii uongo mtupu! Walioshiriki hawakutumia senti tano ya ATCL! Wemejichangisha wenyewe! JF ina habari za uhakika msiiharibu kwa mambo ya chuki na uzushi!
 
acha wajiparty bwana nchi yenyewe iko wapi hapa

__________________
kwa raha zao wajichanilie haya maisha sio ukisubiri kupewa utapewa na HAKIMU MWANJELWA...UJUTE

Jamani ebu tuchambue pumba ba mchele. Hii habari ya wafanyakazi kutumbua beach ni pumba kabisa! ATCL iko ICU na haiwezi kufanya kitu cha nmna hii. Hizi ni habari za uzushi ( kama za popo bawa) zenye lengo ya kuamsha jazba bila sababu. JF sio kijiweni jamani.
 
Tatizo tulilonalo waTanzania ni uadilifu, mtu anapokabiziwa madaraka au usimamizi wa shughuli, mradi au hata cheo kazini katika shirika...anataka ajue atanufaika vipi binafsi kwanza? kuliko kuangalia anachotakiwa kufanya...huu ni uozo uliokuwepo mpaka kwa viongozi wetu....wanajilimbikia mali tu wanapopata nafasi....
fanya uchunguzi wa maCEO, maMD, ma Director, maWaziri wote katika kampuni/mashirika/Taasisi za serikali wote wanahli tatizo...na hat mfumo wetu wa uchumi/siasa/jamii unaachia mianya hii sana....
nchi utazani sio yetu na hatuna viongozi au hatuna SHERIA, iweje sisi ni wa kulalamikia kile tulichofanyia uamuzi wenyewe...je maamuzi yetu yanakuwaga kwa faida ya nani...angalia mikataba ya;
ATCL, TRL, TTCL, RICHMOND/DOWANS.....kama tuna sheria na uongozi wa kisheria na kuthamini
 
Hii ni response ya mfanyakazi wa ATCL katika commercial Dept.

Thanks for this, kumbe watu wanafuatilia kwa karibu mambo ndani ya ATCL.
Wafanyakazi wa Commercial walichanga hela yao wakaamua kujipongeza, bahati mbaya I missed out.
 
Back
Top Bottom