ATCL: Maiden/Launch flight at Arusha Airport

Haaa..haaa

Nimeipata hiyo katika nusanusa...!

Actually wameambiwa wabandue posts/matangazo waliyokuwa wameyabandika kila mahali kwenye jengo la kuondokea abiria!
Ushindani bomba sana...

Kaka naona leo unafuraha isiyo kifani!
Na wewe unalikamata lipilao la ATCL?
 
Yaani srikali ni serikali bana..watu hapa wanapiga msosi wa hatari.

ATCL wameandaa pilau la uhakika kwa wageni na raia wote wa maeneo ya huku airport, wakati shirika ndo linajitahidi kujifufua!

Ndo hivyo lakini...huenda wakawezea!.


Mpwa watumia laptop au blackberry?? photo me hao wanaopika bweche faster na uwa upload.
Kupunguza wafanyakazi si hoja kuwa wataongeza ufanisi, iyo ni dhahiri kuwa katakuwa kashirika kadogo kama Coastal Air hivi.

moja kwanza watendelea kutumia vifaaa vile vya zamani vya ATC, vipuli vipya mpaka vije ni leo?
Ndege nasikia wanazo mbili sasa sijui kama wameongezaa?
walitakiwa kuja na au kuongeza ndege kwanz andi watuambie habari za ufanisi wa kazi. Customer care sio mchezo. Hamkumbuki juzi hapa wenzao waliwashusha watanzania wenzao kwenye ndege teh teh

 
Ni aina ya DASH-8
Pilot wake Mhindi, naambiwa anaitwa Pandya!
Kutoka Mkoani kuna!
-iSDORI sHIRIMA AMBAE NI mKUU WAmKOA,
-fELIX mREMA, mBUNGE WA aRUSHA mJINI,
-Wakurugenzi mbalimbali wa Makampuni ya tours, ambao wamealikwa kushuhudia mabadiliko haya makubwa ya sekta ya Usafirishaji...
 
Kaka naona leo unafuraha isiyo kifani!
Na wewe unalikamata lipilao la ATCL?

Mkuu Kimbweka imebidi na mimi nilikamate maana ndo order of this day...
Now as iam writing ni kwamba Kuna speech ya Mwakilishi wa Atcl wa Kanda ya huku..
Pia abiria wote waliposhuka, kila mmoja amekabidhiwa ua lake, katika kuonyesha Launch, na upendo!
Its so interesting!
 
Tayari speech zimetolewa toka pande zote, na tayari sasa abiria wanaoondoka wanaelekezwa kuingia kwenye ndege, tayari kwa safari ya dAR!
nTAWAPA bei/nauli yao ya Arusha /Dar, ngoja nimvamie mwajiriwa yeyote wa kampuni hii!
 
Ni aina ya DASH-8
Pilot wake Mhindi, naambiwa anaitwa Pandya!
Kutoka Mkoani kuna!
-iSDORI sHIRIMA AMBAE NI mKUU WAmKOA,
-fELIX mREMA, mBUNGE WA aRUSHA mJINI,
-Wakurugenzi mbalimbali wa Makampuni ya tours, ambao wamealikwa kushuhudia mabadiliko haya makubwa ya sekta ya Usafirishaji...

You see now tha Ghabachori ndio hao Tanzania ina wataka ila siku yao yaja wataikimbia hii nchi bila kuaga. na hao wanao wa entertain.

Kweli jana watanzania waliachishwa kazi muda wa jioni na leo Kiongozi wa mkoa anaenda shangilia hauzuni wale walio achishwa kazi wataenda wapi?

Mrema mbuge nae no wander nasikia UVCCM ya arusha Haimtaki na apo hajua anapoteza wapiga kura wake anajichoma kwa jiko la mkaaa mwenyewe.

Huo mpago kweli walikuwa wanujua vyema wafanyakazi wapigwe chini na mkuu wa mkoa aitwe kwa ufunguzi na mbuge wa jimbo hilo on the same day.Invitation card ilikuja asubuhi auwalipewa siku chache kabla??


 
1636GMT ...WOOOOOW...nGOMA HEWANI...
nA SHUGHULI NDO INAISHAISHA!
Ndo tunacheki jinsi ya kurudi mtaani sasa.
 
Ni aina ya DASH-8
Pilot wake Mhindi, naambiwa anaitwa Pandya!
Kutoka Mkoani kuna!
-iSDORI sHIRIMA AMBAE NI mKUU WAmKOA,
-fELIX mREMA, mBUNGE WA aRUSHA mJINI,
-Wakurugenzi mbalimbali wa Makampuni ya tours, ambao wamealikwa kushuhudia mabadiliko haya makubwa ya sekta ya Usafirishaji...

hawa si ndio iddi amini aliwatoa mkuku na kubinafsisha waganda mali zao huyu naona aliwahi boda boda ya mwisho kuja bongo...lazima atakuwa ana ubongo bongo
 
sasa uko arusha nasikia wamepunguza watu wameacha 1 arusha ataweza kweli kwa kasi mpya kama hii....
 
Guys that's RACISM , huyo rubani ni Mtanzania !
Au Watanzania ni watu weusi tuuu ?
 
Guys that's RACISM , huyo rubani ni Mtanzania !
Au Watanzania ni watu weusi tuuu ?

It is very sad kwamba wale wanamtupia mawe kijana Pandya hawamfahamu kabisa. Pandya ni mtoto wa kitanzania kabisa. Ni kijana mcheshi na hazina kubwa kabisa ya fani ya urubani hapa Tanzania. Uhindi ni kama kabila kama makabila mengine, bottom line ni kwamba Pandya ni mtanzania.
Bravo Pandya!!!!
 
Kwa faida ya wasomaji, kama historia kweli inajirudia basi ATC inabidi ijihadhari kwa mara nyingine tena.

December 02, 2002 ndiyo siku ambayo serikali ilikabidhi ATC mikononi mwa mbia South African Airways (SAA) - kama Stategic partner.

Leo majira kama yale tunasikia matukio makubwa tena yanayoihusu ATC.
 
Kwa faida ya wasomaji, kama historia kweli inajirudia basi ATC inabidi ijihadhari kwa mara nyingine tena.

December 02, 2002 ndiyo siku ambayo serikali ilikabidhi ATC mikononi mwa mbia South African Airways (SAA) - kama Stategic partner.

Leo majira kama yale tunasikia matukio makubwa tena yanayoihusu ATC.
Pundamilia, umetukumbusha kitu cha msingi sana, naamini wengi tulishasahau!..Bravol
By the way, lets give them a hand, they may perform at last!
 
another Marathon naomba this time hata wamalize hizo 42 km! Maana Precisionair iko gado
 
Back
Top Bottom