ATCL Kwawaka moto!

hatimae wachina watua na wafanya biashara 200 wakiwemo wawekezaji wa ATCL ,staay tune
 
mkuu akuna alieandikiwa kwenda jnb m napingana na wwewe kidogo hapo,,siku zote rte yoyote kinachotakiwa kwanza kaka uwe stable kwenye marketing...na comm
nini maanna yake,viongozi wa atcl wamekuwa wakiamua wanachojua wao liwalo na liwe bila kuangalia vitu vya maana..mfano halisi rais alihimiza wapewe hela waanze kuruka mara moja,,hata kama ni mfalme ameagiza ,,wamekuwa chini kwa miezi miwili...ok,na baad aya hapo hakuna alieamua kuitangaza mpaka watu tunaruka na ndege zao tunawaambia fanyeni marketing.,,kuna mbinu nyingi hata wangeanza na special fair kuwa attract abiri hao punguani wao wa liokalia viti uko marketing hawana ata akili...hiyo RTE mkuu inauzika wacha....m nakumbuka nilishawahi kusafiri TCLA IKO FULL MARA T KWENDA S.africa,so tatizo ni kufwata principle,,,kinachofanyika sasa hizi hata schedule maalum natumain hawana...wewe utaweza kuttoka ata mkipewa billion 500 za mwana kjkj
luv u tz
 
Emancipate yourself from Mental Slavery! Kila lililotushinda twawapa 'bure' wawekezaji toka nje! Kama ni wachina si bora tuwape TAZARA basi waiendeshe? National Airline kumpatia mgeni? Tunatafuta nini, mtaji, utaalam wa kimanejiment, au? ATCL haikopesheki? Can't we restrategize ATCL by our own initiatives? Hatuna uwezo wa akili? Kwani hata akiwekwa CEO yule mdada wa TFDA, ATCL haitapata faida? Hatuna CEOs wa maana TZ? Lol salaleeeeeeee..............shame on this!

KILA KITU WAGENI! ama kweli kuna matatizo ya akili hapa....tena viongozi wetu ndio majuha zaidi! Akina Mangungo wa Msovero! Shame on you!
 
hatimae wachina watua na wafanya biashara 200 wakiwemo wawekezaji wa ATCL ,staay tune


If you can get a government guarantee, Chinese government can offer loan of big dollar to you through any Chinese company (including H/Kong companies). That's a Chinese AFRICA ECONOMIC PARTINASHIP policy. I mean, a Chinese company can get a loan from China to invest in Africa as long as it has a project in Africa which is guaranteed by local African government. ATCL is even better qualifier because it's a direct government company.
Sonangol, the Chinese investor in ATCL, can easly get money from Chinese Government. Chinese government has lots of money and wants to influence African politics through loans, but with African government tending to privatise economies, Chinese government finds it hard to deal with governments directly, especially during these times when the Industrialised world in trying to minimize or remove African dept. China is indirectly playing against the west, and soon Africa will be indepted heavly not from IMF but China.
Sonagal wakataliwe kuinvest ATCL, lakini naona ATCL wameshafungwa midomo, maana wameshakula stimulus ya mamillion ya dollar waliyopewa na Sonagal ili kuinusuru ATCL. Mkataba huu unaweza kuwa mbaya zaidi kuliko yote tuliyoiona mwanzo kwa sababu mhusika mkubwa ni serikali ya China lakini hapo kati kuna Sonagol ambao hawajui chochote. Makampuni mengi ya Kichina, Sonangol included, lengo lao kubwa ni kuiibia serikali yao kupitia mikopo. Matokea yake sisi ndio tutaobakia na mzigo maana Sonangol watashindwa kuiendesha na wataiua ATCL na deni litabakia kwa serikali yetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom