Atasemehewa kweli?

situmai

Member
Jun 29, 2012
85
18
kuna mtu alipata mimba akiwa shule akaogopa sana kuwaambia wazazi wake,kwahy akaamua kwenda hosp moja kutoa kule alipewa vidonge vya kutoa ile mimba.ila kwa bahati nzuri ile mimba aikutoka ikabidi tu akae nayo... ile mimba ilikuwa na mwishowe kujifungua.
sasa huyo mtoto aliyezaliwa hatakuwa na hasira na mama yake kwa jambo alilojaribu kufanya bila mafanikio?
 
sasa mtoto atajuaje?
aambiwe ili iweje?
akiwa na hasira ndo itakuwaje?
asiposamehe itakuwaje?
 
Yani ume-imagine kwamba huyo mtoto ana utashi huko tumboni wa kujua kwamba alitaka kuangamizwa...sidhani kama ni kweli..
 
Huwa wanasema mtoto ana utashi wa kung'amua kile kinachoendelea duniani akiwa tumboni kwa mamaye...na hiyo huanza wiki chache baada ya utungu wa mimba
 
kuna connection kati ya mtoto na mama ambapo mtoto anaweza kubeba baadhi tabia kutoka kwa mama kutokana na yaliyotokea wakati yuko tumboni, mfano mama akiwa ni mtu wa kununa nuna, au alitaka ku commit suicide, si ajabu mtoto akabeba baadhi ya hayo.
 
Back
Top Bottom