At least amechelewa sanaaaa arudi saa ngapi

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya kutwa. Jamani hebu tusaidiane kwa hili, kwa asilimia kubwa baadhi ya wanaume hupenda kuchelewa kurudi nyumbani, hivi ni muda gani ambao mwanaume anapaswa awe amefika nyumbani baada ya kutoka ktk mihangaiko ya maisha.

Naamini nitajifunza kitu hapa. Thanx
 
Ngoja kwanza wenye wanaishi na wanaume watuambie, halafu na mimi nitasema.
 
Inategemea huwa mnalala saa ngapi na tabia ya mtu alivyozoea aisee
 
Ukiona unachoka kusubiri..

Mpitie kazini kwake siku moja moja...mrudi wote

au mpitie bar wote.....itakusaidia.....
 
Mwanaume hachelewi kurudi nyumbani.
Akikukuta unapiga mswaki ndo atakuwa amechelewa.
 
Kabla mda wako wa kulala.

kama nalala saa kumi asubuhi yeye arudi saa tisa usiku? hapana AW,awahi kurudi mle chakula cha jioni pamoja,acheze na awasaidie watoto homework,asaidie kazi ndogo ndogo za nyumbani na apate hata wasaa wa kuzungumza na mwenzi wake......!!
 
Hakuna muda ambao umepangwa kwa mwanaume awe amefika nyumbani baada ya kutoka kwenye mihangaiko. Tena kwa wanaume wa Kiafrika ndio kabisaaaa. Again blame our society for that. It's hard to put a time limit on that. As to how long you should wait. Kama unaona limekuwa tatizo, then you should at least wait until you have a perspective on the situation and feel good about the direction your life is headed, with or without him.

But if I were you, ningechukua hili kama motivation by doing something so special at home, that next time he would want to come home early. Ikishindikana, you may also consider sitting down together and discuss the situation.The rule of thumb: NEVER ATTEMPT TO CHANGE HIM TO COME HOME EARLY BECAUSE, NEXT TIME HE MIGHT NOT EVEN COME AT ALL. Always address this in a positive way. By the way alikuwa na hii tabia hata kabla hamjaanza kukaa pamoja?
 
michelle and others!, akirudi kuanzia saa tano to saa saba, is it fair.
 
Tatizo wanawake wengine ukiwahi kurudi ni kero tupu

gubu bin gubu......
 
nimeipenda hii mada.Ni hivi wadada mumeo kila anaporudi home ww mwenyewe mfungulie mlango mpokee kwa ukarimu,kesho yake tena ww mfungulie baadae atajisikia aibu kama ni mchelewaji sana na hata hashiriki chakula.Tatizo mnawaachia mahouse girl au watoto wamfungulie.Kuna mfano hai jamaa alikuwa anarudi usiku sana kila akija housegirl ndio anafungua anakuta mke anakoroma baadae mke kalalamika sana aliposhauriwa awe anamfungulia mwenyewe mlango mume alibadilika.
 
Back
Top Bottom