At least amechelewa sanaaaa arudi saa ngapi

mmmmmh, the big boss hv gubu ni kama kumfanyiaje ndo gubu
 
Mwanaume anayewahi kurudi nyumbani ana mambo huyo.
Mwanaume akiwahi kurudi home ugomvi sana , ndio maana kuna, baa, vijiwe vya kahawa nk,

Unakuta watoto wanaruka ruka kwenye makochi mara wamekimbizana Baba akiwepo ataanza wewe nanihii hebu tulia, mara nendeni mkaoge mara hiki mara hiki anaona kero vyoote watoto wanavyofanya vinamuudhi.

So its better akaa huko baa, kwenye kahawa nk ili akirudi watoto washachoka kucheza, washaoga, wanakula/washakula kero angalau zinakuwa zimepungua.

Mie mwanaume anayewahi kurudi simpendi wanakuwa wasumbufu sana ataanza oooh nifanyie hivi, mara umepika hiki ataanza hebu nipikie na kitu fulani aaahhh usumbufu bana akae huko aje akute kila kitu tayari ale aoge alale tupeane haki ya ndoa kwa raha mstarahe bila taabu. (Msininukuu tafadhali nikaachika mwenzenu)
 
mmmmmh, the big boss hv gubu ni kama kumfanyiaje ndo gubu

gubu ni kumsumbua mumeo na matatizo yako..

Mfano mwenzio amerudi unaanza ooho ile pesa ya asubuhi niliyokuambia
ipo wapi?

Mara sijui nani alikuja kasema upuuzi gani....

Na mazungumzo yeyote yasiyo na maana.....

Wanaume tukirudi nyumbani kwanza tunataka space....
Na ukimya wa mda fulani hivi.....

Unasoma magazeti na kubadili channel za tv huku unawaza taratibu....

The last thing unachotaka ni mwanamke asie jua kunyamaza....
 
mhhh:hand:
 
boss, kwa hyo wanaume wanapenda wanawake wakimya au waongeaji?
 
kama nalala saa kumi asubuhi yeye arudi saa tisa usiku? hapana AW,awahi kurudi mle chakula cha jioni pamoja,acheze na awasaidie watoto homework,asaidie kazi ndogo ndogo za nyumbani na apate hata wasaa wa kuzungumza na mwenzi wake......!!

Nimekupata, mie nilichukulia siku moja moja kumbe ni issue ya kila siku.
 
kumbe wengine tumefanya la mbolea kuamua kufa waseja:rain:

tutapewa tuzo mbinguni kwa useja......hivi mwanaume anarudi saaa saba nane usiku akitoka wapi wa kazi gani,kwanini asilale huko kabisa,kisa nyumba ni yake au analipa yeye bills? labda kama kazini....si bar/club kunywa bia na wenzie na kufurahisha macho na malaya......!!!nani anawafungulia mlango kwanza? labda aweke mlinzi,yaani mimi mkewe niamke usiku kufungua.....Heaven forbid,atarudi alikotoka au alale nje!
 
Wakati wowote kulingana na makubaliano yenu!!!Ila zaidi ya saa sita kama sio weekend haijatulia!!
 
michelle and others!, akirudi kuanzia saa tano to saa saba, is it fair.

Ni siku zote anarudi mida hii? kama ndio sio fair ila kama ni mara mojamoja anabaki na wenzake ni kawaida kabisa ilimradi wewe unajua yuko wapi na amekujulisha
 
tutapewa tuzo mbinguni kwa useja......hivi mwanaume anarudi saaa saba nane usiku akitoka wapi wa kazi gani,kwanini asilale huko kabisa,kisa nyumba ni yake au analipa yeye bills? labda kama kazini....si bar/club kunywa bia na wenzie na kufurahisha macho na malaya......!!!nani anawafungulia mlango kwanza? labda aweke mlinzi,yaani mimi mkewe niamke usiku kufungua.....Heaven forbid,atarudi alikotoka au alale nje!

LOL. Michelle, atarudi alikotoka, na atarudi mazima! kwa nini usimfungulie ujue kilichomsibu?
 
Lizzy, kwa mujibu wa makubaliano, i agree.
Naamini kwamba haya mambo yanatakiwa yaende kwa flow ya kawaida bila sheria. Watu wawili mna majukumu kila mmoja kwa mwenzie na kwa watoto na nyumba. Sasa kurudi saa nane kila siku hakuwezi kuwa makubaliano, na ni iresponsible man/woman would do that
 
tutapewa tuzo mbinguni kwa useja......hivi mwanaume anarudi saaa saba nane usiku akitoka wapi wa kazi gani,kwanini asilale huko kabisa,kisa nyumba ni yake au analipa yeye bills? labda kama kazini....si bar/club kunywa bia na wenzie na kufurahisha macho na malaya......!!!nani anawafungulia mlango kwanza? labda aweke mlinzi,yaani mimi mkewe niamke usiku kufungua.....Heaven forbid,atarudi alikotoka au alale nje!
Karaha za nini maisha yenyewe mafupi haya Michelle mpendwa wangu,hivi wanajua hata maana ya ndoa hawa jamani,kuna tofauti gani kati ya mwenye mume na asiye naye,nadhani siku nikijua hiyo tofauti ntatafuta mume wa kunioa kinyume chake kulia na kucheka yote ni makelele...
 
gubu ni kumsumbua mumeo na matatizo yako..

Mfano mwenzio amerudi unaanza ooho ile pesa ya asubuhi niliyokuambia
ipo wapi?

Mara sijui nani alikuja kasema upuuzi gani....

Na mazungumzo yeyote yasiyo na maana.....

Wanaume tukirudi nyumbani kwanza tunataka space....
Na ukimya wa mda fulani hivi.....

Unasoma magazeti na kubadili channel za tv huku unawaza taratibu....

The last thing unachotaka ni mwanamke asie jua kunyamaza....
Boss jaman ukimya gani hapa mnauhitaji?yaani ukifika home usisemeshwe kwanza mpaka upoe engene? kuna vitu vingine labda nilikuwa nakusubiri kwa hamu nikueleze tupeane maushauri.
 
Back
Top Bottom